Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea akawa anazinguka tu forodhani hana inshu, don jazzy, wachezea filamu wakubwa kimya.
Baadae tunatumia pesa kuwafata ulaya na kugharamia safari hoteli nk, sijui tuna Nini tu, hawa wanakuja Kwa gharama zao wenyewe, inasikitisha sana.
Baadae tunatumia pesa kuwafata ulaya na kugharamia safari hoteli nk, sijui tuna Nini tu, hawa wanakuja Kwa gharama zao wenyewe, inasikitisha sana.