Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Hujielewi wewe hao ni tofauti na mastar mchwara, huna unalo jua kaa pale forordhani ucheki mastar wa epl wanavo katiza na watu hawana time nao, unarpoka sana mastar wanazurula hapo forordhani na hata ukiomba picha hawakunyimi na hawana body guard, cucurella mchezaji wa Chelsea bingwa wa kombe la dunia alikua ana zurula tu na hakuna mwenye time nayeAnafikiri hao jamaa ni kama Manara tu ambaye unakutana naye Kariakoo bahati mbaya, intavyuu tayari!!!!