Bilionea na Infulencer mkubwa, Zeus kaja Zanzibar Media kimya, sijui tukoje

Inawezekana anajipost wamuone mitandaoni lakini hapo alipo labda hataki fujo.
Hapana mkuu kufanya interview ni fujo? Unapo jitangaza kwenye makachi yani we tayari unataka promo mkuu, nakumbuka Kuna jamaa alonambia msanii mkubwa hapo USA alikuja zenji kimyakimya mpaka anaondoka ndio akafaham
 
Kuna watu wanakwenda likizo kupumzika hawataki interview.

Interview ni kazi.

Socialites wote hawako sawa.

Huelewi wapi?
 
Back
Top Bottom