Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Huna unacho kijua sister, wakina don jazzy Mimi nimeongea nae ,,cucurella yule influencer wa Germany mpaka akawa anazururla tu hana inshu we unasemaje mambo ya management, kwani hiyo ni biashara unadhani wao hawajui umuhimu wa interview na media kubwa nchi husika hakuna unacho jua mpaka hapoZanzibar haina media? Kwanini wasiwafanyie wao kwa manufaa yao si nchi ile.
Alafu kingine unachopaswa kujua kwa taarifa tu, mtu mashuhuri yoyote aliyetoka huko sio zwazwa kama ulivyo wewe lazima uwasiliane na management yake na lazima maslahi yawepo vinginevyo ni upaparazi tu ndio unawezekana sio mahojiano rasmi
Nakuongeza na hili sawa, Zeus sio mshamba wa kamera ni influencer mitandaoni utofauti tu ni kuwa ye kipunga kipo hapo Monaco taifa la matajiriZanzibar haina media? Kwanini wasiwafanyie wao kwa manufaa yao si nchi ile.
Alafu kingine unachopaswa kujua kwa taarifa tu, mtu mashuhuri yoyote aliyetoka huko sio zwazwa kama ulivyo wewe lazima uwasiliane na management yake na lazima maslahi yawepo vinginevyo ni upaparazi tu ndio unawezekana sio mahojiano rasmi
Ni bilionea mkubwa pale monako, anajihusisha na mambo ya mitindo na ana mkataba na chapa kubwa za mavazi kama Louis Vuitton, ana wafuasi zaidi ya 2m ni wale watu MAARUFU ambao wanamulikwa na dunia kila anacho fanyaHuyo mwamba anajihusisha na shughuli zipi?
Niwe mkweli, ndiyo nimemwona leo hapa JF
Tanzania ni nchi yangu au unazungumzia ipi?Wewe mambo ya nchi nyingine yanakuhusu Nini?
Ukishajanjaruka utaelewaTanzania ni nchi yangu au unazungumzia ipi?
Unaandika kitu usicho na upeo nacho, mimi nimeshampokea Rais wa Ufaransa mstaafu mara tatu tofauti anakuja kwenye hunting haijawahi kutangazwa popote.Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea akawa anazinguka tu forodhani hana inshu, don jazzy, wachezea filamu wakubwa kimya.
Baadae tunatumia pesa kuwafata ulaya na kugharamia safari hoteli nk, sijui tuna Nini tu, hawa wanakuja Kwa gharama zao wenyewe, inasikitisha sana.
Ukijibiwa uni tagHuyo mwamba anajihusisha na shughuli zipi?
Niwe mkweli, ndiyo nimemwona leo hapa JF
KagongweHuna unacho kijua sister, wakina don jazzy Mimi nimeongea nae ,,cucurella yule influencer wa Germany mpaka akawa anazururla tu hana inshu we unasemaje mambo ya management, kwani hiyo ni biashara unadhani wao hawajui umuhimu wa interview na media kubwa nchi husika hakuna unacho jua mpaka hapo
Watu MAARUFU kawako hivyo kaka usidanganywe, ILE ni part ya kuji advertise yeye piaPengine hawapendi usumbufu wa Media, wanakuwa wamechagua sehemu tulivu ya mapumziko
Basi poa bro, lakin kupiga HATUa ni ngumu sana sababu we hapo unaendekeza siasa, don jazzy kapewa JEZI ya SIMBA mbona hakuikataa, je VIONGOZI wa SIMBA walikua na taarifa, no ni shabiki tu alijiongeza sasa kama mtu brand kubwa kama huyo anakubali kupokea JEZI ya club Leo hii atagoma kufanya interview, bro siasa imekuzidiaUkishajanjaruka utaelewa
Anafikiri hao jamaa ni kama Manara tu ambaye unakutana naye Kariakoo bahati mbaya, intavyuu tayari!!!!Huna unacho kijua sister, wakina don jazzy Mimi nimeongea nae ,,cucurella yule influencer wa Germany mpaka akawa anazururla tu hana inshu we unasemaje mambo ya management, kwani hiyo ni biashara unadhani wao hawajui umuhimu wa interview na media kubwa nchi husika hakuna unacho jua mpaka hapo
Tunahitaji sura mpya, kama wewe tayari unatambua Hilo na unasema tusilete shobo basi kupiga HATUa ni ngumu sanaUnaandika kitu usicho na upeo nacho, mimi nimeshampokea Rais wa Ufaransa mstaafu mara tatu tofauti anakuja kwenye hunting haijawahi kutangazwa popote.
Tulichokuwa tunafanya kama kampuni ni kupeleka request wizara ya mambo ya nje akifika apokelewe na state car ndio protocal kwa Marais.
Sasa si huyo tu, masuper star kibao wanakuja Serengeti hizo ni ziara zao binafsi na private usiwaletee shobi.