Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #21
Hujielewi wewe hao ni tofauti na mastar mchwara, huna unalo jua kaa pale forordhani ucheki mastar wa epl wanavo katiza na watu hawana time nao, unarpoka sana mastar wanazurula hapo forordhani na hata ukiomba picha hawakunyimi na hawana body guard, cucurella mchezaji wa Chelsea bingwa wa kombe la dunia alikua ana zurula tu na hakuna mwenye time nayeAnafikiri hao jamaa ni kama Manara tu ambaye unakutana naye Kariakoo bahati mbaya, intavyuu tayari!!!!
Mzigo sana hawa member wa humu eti ana sema hao si haji manara, anasahau haji manara akija zenji anakuja na body guards, ilihali star kama cucurella ana kula misela bila body guard1: English haijawahi kutuacha salama, waandishi wa kibongo 99% hawajui hii lugha.
2: media/Wabongo tunapenda wapiga kelele mitandaoni
Sawa dada angu sija kutukana sijatumia lugha mbaya ila naona unatusi tu kibaya sio kila mtu ni muhuni mwenzako wengine tuna heshima zetu, angalia na watu wa kuface dada, tafuta wavuta bangi wenzako mkuuKagongwe
Nisha mjibu broUkijibiwa uni tag
Ova
Anafikiri hao jamaa ni kama Manara tu ambaye unakutana naye Kariakoo bahati mbaya, intavyuuHuna unacho kijua sister, wakina don jazzy Mimi nimeongea nae ,,cucurella yule influencer wa Germany mpaka akawa anazururla tu hana inshu we unasemaje mambo ya management, kwani hiyo ni biashara unadhani wao hawajui umuhimu wa interview na media kubwa nchi husika hakuna unacho jua mpaka hapo
Sasa kuliko kuja hapa JF kulialia kwanini wewe usingepiga picha nao ukaonesha kwa vitendo badala ya maneeeeeno kibao kama mwimba taarab!?Hujielewi wewe hao ni tofauti na mastar mchwara, huna unalo jua kaa pale forordhani ucheki mastar wa epl wanavo katiza na watu hawana time nao, unarpoka sana mastar wanazurula hapo forordhani na hata ukiomba picha hawakunyimi na hawana body guard, cucurella mchezaj
Andre Herrera aliekua mchezaji wa man UTD na psg alipo kuja bongo waliwasiliana na management yake?Zanzibar haina media? Kwanini wasiwafanyie wao kwa manufaa yao si nchi ile.
Alafu kingine unachopaswa kujua kwa taarifa tu, mtu mashuhuri yoyote aliyetoka huko sio zwazwa kama ulivyo wewe lazima uwasiliane na management yake na lazima maslahi yawepo vinginevyo ni upaparazi tu ndio unawezekana sio mahojiano rasmi
Una akili TIMAMU mkuu? Unaongea Nini hiki? Umetoka usingizini, ukashika simu ume nawa kwanza mdomo una hali nzuri?Anafikiri hao jamaa ni kama Manara tu ambaye unakutana naye Kariakoo bahati mbaya, intavyuu
Sasa kuliko kuja hapa JF kulialia kwanini wewe usingepiga picha nao ukaonesha kwa vitendo badala ya maneeeeeno kibao kama mwimba taarab!?
We unatupigia keley. Wacha niangalie game.Una akili TIMAMU mkuu? Unaongea Nini hiki? Umetoka usingizini, ukashika simu ume nawa kwanza mdomo una hali nzuri?
Mimi Sina ushawishi labda kazi yangu ya mziki iknitoa, media kama Azam wakifanya mahojiano na cucurella unadhani watabaki hivyo, umeridhika na ndondo cup mkuu eti, haya nenda Kwa mabwana zako mkalane
Kwani zbc si inatosha? Media za Tanganhika ni kwaajili ya Tanganyika.Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea akawa anazinguka tu forodhani hana inshu, don jazzy, wachezea filamu wakubwa kimya.
Baadae tunatumia pesa kuwafata ulaya na kugharamia safari hoteli nk, sijui tuna Nini tu, hawa wanakuja Kwa gharama zao wenyewe, inasikitisha sana.
Pengine hiyo ndiyo sababu wanapapenda Zanzibar, wanajua wanaweza kuja nankutembea mtaani bila kusumbuliwa.Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea akawa anazinguka tu forodhani hana inshu, don jazzy, wachezea filamu wakubwa kimya.
Baadae tunatumia pesa kuwafata ulaya na kugharamia safari hoteli nk, sijui tuna Nini tu, hawa wanakuja Kwa gharama zao wenyewe, inasikitisha sana.
Wewe hutoki, huwi maarufu hadi unakufa mark my wordUna akili TIMAMU mkuu? Unaongea Nini hiki? Umetoka usingizini, ukashika simu ume nawa kwanza mdomo una hali nzuri?
Mimi Sina ushawishi labda kazi yangu ya mziki iknitoa, media kama Azam wakifanya mahojiano na cucurella unadhani watabaki hivyo, umeridhika na ndondo cup mkuu eti, haya nenda Kwa mabwana zako mkalane
Aliongea na nani hapa Bongo Land?Andre Herrera aliekua mchezaji wa man UTD na psg alipo kuja bongo waliwasiliana na management yake?
Na bango kuna watu maarufu,matajiri nk hiwa wanakuja kimya kimyaPengine hiyo ndiyo sababu wanapapenda Zanzibar, wanajua wanaweza kuja nankutembea mtaani bila kusumbuliwa.
Na mkianza kuwasumbua mtapoteza utamaduni huo wa Zanzibar na hawatakuja tena.
Hatari, siku hizi Kila mtu ni celebrity 🙌Ukijibiwa uni tag
Ova
Mkuu sija kuelewa unapigwa gameWe unatupigia keley. Wacha niangalie game.
Mkuu ukisikia social lite yeyote yule basi, lazima awe mtu wa promo, unasemaje hataki usumbufu anajipost yupo vacation? Wanao chenga usumbufu hawasemi unamsikia tu alikuwepo mkuuPengine hiyo ndiyo sababu wanapapenda Zanzibar, wanajua wanaweza kuja nankutembea mtaani bila kusumbuliwa.
Na mkianza kuwasumbua mtapoteza utamaduni huo wa Zanzibar na hawatakuja tena.
Hata mimi nilikuja kimyakimya mkuu.Na bango kuna watu maarufu,matajiri nk hiwa wanakuja kimya kimya
Ova
Ungesema sishiki hela ninge kuelewa, umaarufu unisaidie Nini ilihali Kuna watu wengi maarufu na hawana kitu, sihitaji umaarufu dada UKIPATA show niambie sio umaarufu mkuu karibuWewe hutoki, huwi maarufu hadi unakufa mark my word
Umeona sasa watu nao bishana nao hawajui lolote ni kelele tuAliongea na nani hapa Bongo Land?