Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Huyu hajachanganya dini na siasa wandugu? Mbona naona comment nyingi tofauti na alivyotangaza nia Gwajima? Tuache unafki kwenye nyeusi tuseme nyeusi haijalishi ni upande gan!
Hivi na huyu ana ubiri Siasa mbele ya madhabau?
 

Uchaguzi wa mwaka huu tutaona na kusikia mengi.
Sasa ikiwa wanojiita watumishi wa Mungu kuanza kupigana vijembe, mmhhhhh
 
Ahsante kwa kushiriki ww pa1 na mwenzako.....

#usikate tamaa,cha msing tumia hizo bilion zako kununua chakula cha kuku
 
GWAJIMA mlisema anachanganya DINI na SIASA, huyu je?
 
Huyu hajachanganya dini na siasa wandugu? Mbona naona comment nyingi tofauti na alivyotangaza nia Gwajima? Tuache unafki kwenye nyeusi tuseme nyeusi haijalishi ni upande gan!
Tofauti ni kuwa Gwajima alianza kutumia mimbari ya kanisa lake kuishambulia Chadema tena kwa tuhuma za uongo kama ile aliyosema Chadema inawatukana viongozi wa dini jambo ambalo si kweli. Kwa vile Chadema hawakuwa na jukwaa la Kikanisa kumjibu waliamua kumchunia sasa kaja huku kwenye majukwaa ya siasa lazima tumnyonyoe. Shila hajawahi kutumia mimbari ya Kanisa kushambulia wana siasa.
 
Kwahiyo huyu yeye hachanganyi dini na siasa kama Gwajima?
 
Baba yake sijui yu hali gani huko aliko, atatumbuliwa soon
 
Na hata CCM wenyewe hawatampitisha kwani kupitia mitandao tu,watakuwa tayari wamejua kuwa atawagharimu.
Uzuri Gwajima amezoea kujitetea mwenyewe! Na Gwajima akipitishwa kugombea msithubutu kuqnzisha siasa za kupakana matope maana atawabutua hadi mjione hamfai. Mbowe mwenyewe anajua sana hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…