Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 564
- Thread starter
- #101
Kwa nyongeza ni kuwa ana Investments Lukuki kabisa huko nje, na si kuwa Utajiri wa Benki pekee.Real Estates, Companies etcFedha yake haipo Tanzania ; ipo offshore [ Jersey] Matajiri karibuni wote pengine JAH PEOPLE peke yake fedha yao imefichwa nje ya nchi!!! Mo ameficha huko DUBAI na ndio maana family yake imehamia huko; hapa kawabakizia SIMBA SPORTS club!!!