Bilionea Rostam Aziz amemalizana na Vodacom Tanzania (Auza hisa zote kwa Vodacom SA)

Fedha yake haipo Tanzania ; ipo offshore [ Jersey] Matajiri karibuni wote pengine JAH PEOPLE peke yake fedha yao imefichwa nje ya nchi!!! Mo ameficha huko DUBAI na ndio maana family yake imehamia huko; hapa kawabakizia SIMBA SPORTS club!!!
Kwa nyongeza ni kuwa ana Investments Lukuki kabisa huko nje, na si kuwa Utajiri wa Benki pekee.Real Estates, Companies etc
 
Ukiwa na share nyingi kuliko wengine ndio unakuwa mmiliki maana maamuzi mengi unafanya wewe....
Kwa hiyo Wanachama wa Simba 51% na Mo Dewji 49% nani ni mmiliki wa Simba?
 
Ukiwa na share nyingi kuliko wengine ndio unakuwa mmiliki maana maamuzi mengi unafanya wewe....
YAP, MFANO KWENYE FAMILIA YULE MTOTO MWENYE HELA NYINGI KULIKO WENGINE NDIO ANASIKILIZWA.
 
Samahani kwa swali hili? Kwa kampuni kama Facebook shares zake ni public or private
 
CCM is one of the complicated creature in the world. Ndio maana nikiona maneno mepesi ya kuing'oa madarakani natabasamu alafu nakaza mwendo kutafuta ugali wa watoto [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Voda alikiwa na keherehere wakati soko lishakuwa saturated. Kuongezeka kwa faida ni ngumu maana hakuna wateja wapya. Na sheria ngumu zinaendelea tungwa ndio maana mjanja kauza vyake
 
Sijaelewa.Ni hivi kwani mnunuzi wa hisa ukienda kununua hisa unaenda kusema unataka hisa za Juma au hamisi au Rostam?.Si unaomba tu kununua hisa zilizoko sokoni .Kwani Kuna mahali pa kujaza kuonyesha unazitaka za Magdalena au za Asha Ngedere?


YEHODAYA pitia hata dar stock exchange upate updates...
 
waziri amecheza na akili zetu mkuu





Ha ha ha...

Wengi wa wa changiaji hawajuai hata hisa zipo za aina gani na za vigezo gani...

Elimu Ni muhimu sana, wa tz tupunguze mihemuko na siasa. Tujajari maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…