Na yale mavifaa mabovu/chakavu yaliyouziwa jeshi letu. Mkapa aendelee kulaaniwa huko kuzimu aliko.Huyu si ndio alikuwa dalali wa RADA mbovu kipindi cha hayati Benjamin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yale mavifaa mabovu/chakavu yaliyouziwa jeshi letu. Mkapa aendelee kulaaniwa huko kuzimu aliko.Huyu si ndio alikuwa dalali wa RADA mbovu kipindi cha hayati Benjamin?
Mmh!,msamehe bure ,urais ni taasisi,pengine aliingizwa chaka na wajanjaNa yale mavifaa mabovu/chakavu yaliyouziwa jeshi letu. Mkapa aendelee kulaaniwa huko kuzimu aliko.
Ngoja nikupuuze, maana yawezekana kuna kipele kinakuwashaaaaa....Baadae wanafuata makapuku kama wewe.
Fungukeni hapa wakuu tuonyesheni njia ndo maana tupo hapaNi wachache wataelewa hii connection unless uwe kwenye power corridors.