stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 519
Acha uchochezi we baharia😀😀😀😀Pigo kwa Lukuvi.. [emoji26][emoji26][emoji26]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchochezi we baharia😀😀😀😀Pigo kwa Lukuvi.. [emoji26][emoji26][emoji26]
Mwaka gan hyo mkuu?[emoji115]
na hilo shati pembeni kama la ndugu "amirika spiriti"mwenye miwani ni man from Ruangwa?
Tusijeitwaa.magaidLuku - V n yeyeeee
View attachment 1888898
DEATH ANNOUNCEMENT
Somaiya Family regrets to announce the sad and sudden demise of Mr Tanil Chandulal Somaiya on Wednesday 11 August in Dar es Salaam.
Funeral details to be announced later.
We kindly request: No Visitors at Home Please
Om Shanti Shanti Shanti
Ndio ujue hawa mabwanyenye wa kihindi sio wenzenu. Hawakuhitajini nyumbani kwenye msiba wao.View attachment 1888898
DEATH ANNOUNCEMENT
Somaiya Family regrets to announce the sad and sudden demise of Mr Tanil Chandulal Somaiya on Wednesday 11 August in Dar es Salaam.
Funeral details to be announced later.
We kindly request: No Visitors at Home Please
Om Shanti Shanti Shanti
R.I.P SomaiyaOm Shanti Shanti Shanti
Baadae wanafuata makapuku kama wewe.Tycoons wanazidi kung'ata shuka..🙄
R.i.P Kanji bai....😪
Hizo vocha nilikuwa naingiza namba bila kuzifungua zilikuwa bogus sana.Duh R.I.P ...nimekumbuka enzi hizo vocha unaifungua kwanza kama barua.
Kama umetumia hizi kachanjwe tu ! View attachment 1888899
Acha uchochezi we baharia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Balaa na nusuDELTA NYOKOOO MANINAANAAAA
KENYA WASHAJAZANA PHASE 4
Wapi nimeandika kuwa amechanjwa.....??Nani kakwambia alikuwa amechanjwa?
Kuna mzito serikalini kipindi hicho alikuwa na hisa shivacom; ndio ilipelekea wakubwa wote serikalini kipindi hicho kuwa na line za vodacom.Duh R.I.P ...nimekumbuka enzi hizo vocha unaifungua kwanza kama barua.
Kama umetumia hizi kachanjwe tu ! View attachment 1888899