TANZIA Bilionea Tanil Somaiya wa Shivacom afariki dunia

TANZIA Bilionea Tanil Somaiya wa Shivacom afariki dunia

Natamani akina kanji waache kwenda india kwa muda maana kule kuna variants mbaya zaidi tunakuja kulaumiwa akina pinga chanjo kumbe
 
View attachment 1888898

DEATH ANNOUNCEMENT

Somaiya Family regrets to announce the sad and sudden demise of Mr Tanil Chandulal Somaiya on Wednesday 11 August in Dar es Salaam.

Funeral details to be announced later.

We kindly request: No Visitors at Home Please

Om Shanti Shanti Shanti
mwenye miwani ni man from Ruangwa?
 
No Visitors at Home Please

Haina tofauti na ile ya kwenye sherehe unafika unaambiwa "zawadi zote acha mlangoni" ama "usibebe zawadi"
 
Balaa hili. Alikuwa hajachanjwa ?
Ila wanadai ukiwa na 1980s disease hata ukichanjwa ndio itafight chanjo ila baadaye ina give up halafu una succumb. Lakini ukiwa na kisugar, presha, Figo liver problems haya magonjwa ya kizembe ya kujitakia kwa hiari yani chanjo inakupiga tough vizuri tu.
 
View attachment 1888898

DEATH ANNOUNCEMENT

Somaiya Family regrets to announce the sad and sudden demise of Mr Tanil Chandulal Somaiya on Wednesday 11 August in Dar es Salaam.

Funeral details to be announced later.

We kindly request: No Visitors at Home Please

Om Shanti Shanti Shanti
Vipi,nauyu hajapata chanjo ya corona? Maana siku hizi kila kifo ni corona tena ambao hawajapata chanjo.
 
Hii ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na uwepo wa COVID-19 na hasa Delta variant wakati huu naona kama vinashabihiana! 🤔 🤔 Hivi vifo naona kama vinatokea kwa makundi lengwa tena kwa msimu 😳😳... Tuendelee kutoeza tonge kwa mchuzi nyama huenda ziko chini.... Paix à son âme. Poleni sana wafiwa.😪😪
 
Back
Top Bottom