TANZIA Bilionea Tanil Somaiya wa Shivacom afariki dunia

TANZIA Bilionea Tanil Somaiya wa Shivacom afariki dunia

Duh R.I.P ...nimekumbuka enzi hizo vocha unaifungua kwanza kama barua.
Kama umetumia hizi kachanjwe tu ! View attachment 1888899

Hizi mbona za juzi juzi tu hapo...

Zamani watu walikuwa wananunua vocha almaarufu kama dola kadhaa...enzi ya tritel hiyo, simu inameza SIM card ukubwa wa kama card ya ATM

309_001.jpg
 
Kumbe hata Matajiri nao Hufa kama Sisi Masikini kwa Kukosa Mitungi ya Oksijeni?

Delta Variant anaendelea Kuupiga mwingi mno nchini Tanzania na Kwingineko duniani. Mwenyezi Mungu atusaidie tu kwakweli.
 
Back
Top Bottom