Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wilfred Lucas Tarimo siyo jina geni kwa watu wa kaskazini hasa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutokana na baba yao mzazi mzee Lucas Tarimo[Marehemu] kuwa na utajiri kumkaribia Reginald Mengi.
Mtoto wa Mzee Lukas Tarimo aitwaye a Wilfred Lucas Tarimo ambaye sasa ni mmiliki wa Snow Crest lakini pia kampuni ya Dereck Inc Co limited na wanawe na mkewe kwa pamoja yaani WILFRED LUCAS TARIMO, DERICK WILFRED TARIMO, DOREEN WILFRED TARIMO , MRS. IRENE WILFRED TARIMO leo amepewa tuzo ya mlipakodi mkubwa moani kilimananjaro, ikumbukwe mwanaye aitwaye Doreen kwenye send off alipewa gari mbili zote zero kilometre, land cruiser milioni 450 na rav 4 ya milioni 150 pamoja na ghorofa shanty town ya thamani ya Tsh. 1.9 Bilioni.