Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

Dah kuhusu daimond naona ni kweli maana kila mda naona ana nuka mik*ma k*ma tu
 
Safi hoja kwa hoja ,Jino kwa Jino

Umemjibu barabaraaa kabisaaa

Kafie mbalii Huyuu kapurwaaa

Eti vijana wangapi wanaangamia

Ongeleaa upande mwingine si huku tuuu.

Maisha ni kuchagua ,Kupanga ni kuchagua
 
Hizo tuzo wanapewa wengi...bonite,tpc,serengeti brew,harsho yeye muuza pombe ya buku awazidi ulipaji kodi...snowcrest sio mali yake alishindwa kulipa mkopo ikauzwa mda mrefu tu
 
Kuna mjukuu wangu mmoja aliwahi niuliza kwa nini sipendi kuvaa "jezi" za timu zangu pendwa!!!??
Nikamwambia akipata jezi ambayo haina lebo/tangazo ya mdhamini aninunulie nami nitavaa hata kanisani.
Akaniuliza kwa nini sivai zenye matangazo,nami nikamjibu ni kwa sababu ya kuwa nikivaa nitakuwa nawatangazia biashara yao/zao bila mimi kulipwa wakati mimi kama mimi ni "brand", natakiwa kulipwa kwa kila "brand" ninayoitangaza.

Tangu hapo ameacha kuwehuka na "selfie" za vitu anavyotumia.
Au ameingia mkataba na kampuni hiyo ya kofia, maana kama sivyo basi atakuwa amewapaisha bila malipo yoyote, fala sana
 
Umeanza utopolo Wako,vipi UNAMJUA mmiliki WA Eckenford Tanga university?
Umamjua mmiliki WA mabus ya KLM,Lim,machame, BM, Happy national ni kina Nani?
Umajua mahotel Arusha Karibu 80% ni ya kina Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…