Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

Sema kaskazini siku hz imepwaya sana aiseee kuna era ya kina Mengi, Msuya, Ndesamburo(ndesamapesa)na wengn wengi ambao majina yao hayakua makubwa Sana

Kwenye siasa alikuepo Mrema, Mbowe, Lema, Lowasa na wengn
WArithi wa hao watu wapo busy na biashara na hawana muda kama baba zao.Utajiri kwa warithi umwzidi na ulioachwa na hao ila huwezi wasikia.
 
Kuna jamaa mmoja miaka ya 1980s alikuwa konda wa "Sitawahukumu" za Mzee Maliki, leo ni mmiliki wa mabasi kadhaa,hotel na nyumba kibao.

Kiufupi Mchaga anayepiga debe au konda leo,kesho akiwa hai anakuwa na uwezekano mkubwa sana wa kutengeneza ajira nyingi kutokana na baraka za Mwenyezi Mungu kwa jasho lake.
Hao ombaomba ni kabila gani, huwa wamevaa beji kuonesha makabila yao. Wachaga kwa kujipiga promo za kipuuzi, sifa za kijinga tu wakati wengi ni maskini tena sana, ni wapiga debe,
 
Sasa huyu ndo tajiri sasa.

Akina Azam, Mo na wengine ni majizi tu. Wana utajiri mkubwa sana lakini hawalipi kodi
Hizo tuzo za kodi zipo kimkoa, na anapewa mmoja, Dar kapewa NMB, Dar kuna giants wengi sana, kupata tuzo ya mlipa kodi bora Dar sio kitoto,

Imagine una TBL, Bank zote, bado kina METL, AZAM nk
 
WAchaga na mpira na 0-0.
Alex Massawe alicheza Mbeya siku hizi sijui yu wapi, hawana mambo ya michezo .
Leodiga Tenga, Christopher Alex Massawe na currently huyu wa Namungo Jacob Massawe,,, nadhani unamfahamu vizuri,,, to mention just few of them.Kila kona utawakuta,,,salute kwa Chagga people.
 
vijana wachache sana ukilinganisha wa watu wanaoangamia kwa kukosa nguvu za kiume kwa kula kuku wa kisasa[sitaji kampuni], kwa kula ice cream,[sitaji kampuni], viriba tumbo kwa kula tambi za yule tajiri namba moja tanganyika,.kwa kukosa hamu ya tendo kutokana na wanawake wacheza muziki kukaa uchi hivyo libido za kiume kushuka , etc.

Vijana wangapi wanaangamia kwa ukimwi kwa kumuiga diamond kupiga kila demu anayekata kiuno kwenye shoo zake? umewahi kukemea hilo ama Diamond ni rol mode wa dada zako?

Kupanga ni kuchagua, dont drink and drive na bado kuna parking baa , hizo parking ni za magari ya wanywa juisi?​
Umechokonolewa kidogo basi povu kama lote😀
 
Hizo tuzo za kodi zipo kimkoa, na anapewa mmoja, Dar kapewa NMB, Dar kuna giants wengi sana, kupata tuzo ya mlipa kodi bora Dar sio kitoto,

Imagine una TBL, Bank zote, bado kina METL, AZAM nk
Wezi tu hao
 
Huyu jamaa atakuwa hajawahi fika Dar. Anaongelea akiwa huko mkoani. Eti hakuna mchaga Buza! 😂😂 Alafu thamani ya nyumba ya Buza ni mara tatu zaidi ukilinganisha na nyumba au ardhi ya mkoani. Nahisi wa mikoani hili hamlijui.

Ukweli house girl sijawahi kuwaona ila nimeona mabaa medi wengi wa kichaga.
 
Kwakweli.
Hatupendi ukweli ila ndio hivyo.
Sijawahi kuona mchaga omba-omba hapa Dar es salaam kwenye makutano ya barabara.
Sijaona mchaga anakaa buza na ni housegirl kwenye nyumba za ma-don huko Masaki .
Kuna mambo yao flani, na hatupaswi kufanana.
Ukitaka housegirl unaagiza Iringa, Mwanza au Tabora.
kila mkoa na kazi zake.
House girls wa kichaga Dar ni wa kumwaga mfano mzuri ni j.kiria. Pia bar maid wa kichaga ni kama mvua
All in all mchaga anaisaka pesa popote ilipo. Kwa kifupi ni hard workers
 
Back
Top Bottom