Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

Mkuu kumbe huko Newzealand? Itakuwa tu unaishi Christchurch kwa maforeigners wengi. Wellington ni ngumu kumkuta mmatumbi.

Kumbe ulikoswaKoswa kupigwa risasi msikitini na yule right wing?
Kwani kula nyama ya kondoo wa New Zeland lazima uwe unaishi hapo hap New Zeland, wengine mnadhani kula zabibu lazima uwe kwenye shamba 😄

Nikiwambia ukristo ni ujinga hamuamini , we hebu soma Qur'an mdaa wa week moja tu, utapata raha kwenye iman yako, ukristo ni kukosa iman we huoni mnafurahi mkiona vitoto vya Gaza vimekufaa hizo ni iman za kishetani.
 
Siwezi kufuata mila za kiarabu.
 
Kwani wanao ua watoto uliowaita wa Gaza ni WAKRISTO?
Wayahudi wanamjua Yesu ama wanamkubali Yesu?
Unajua Israel Wakristo ni 2% , Islam 2% na waliobaki ni WAYAHUDI ambao SI WAKRISTO, tatizo la elimu za chini ya miti ndio maana una bando lakini hujui kulitumia.

Wakristo ni wachache wa idadi ya watu nchini Israeli, inayojumuisha takriban 2% ya jumla ya watu. Idadi kubwa ya watu katika Israeli ni Wayahudi, na jamii muhimu za Kiislamu na Druze pia. Ni muhimu kutambua kwamba takwimu za idadi ya watu zinaweza kubadilika kwa wakati, kwa hivyo kwa taarifa ya kisasa na sahihi zaidi, inashauriwa kurejelea data ya hivi punde ya sensa au ripoti rasmi kutoka kwa mamlaka husika nchini Israeli.
 
Back
Top Bottom