Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

Umeanza utopolo Wako,vipi UNAMJUA mmiliki WA Eckenford Tanga university?
Umamjua mmiliki WA mabus ya KLM,Lim,machame, BM, Happy national ni kina Nani?
Umajua mahotel Arusha Karibu 80% ni ya kina Nani?
Hizo zote ni biashara kichaa, hakuna tajiri duniani anamiliki hizo assets kichaa .

Watu wapo kweny teknolojia ndio unapata income ya maana ,hizo hapo kama una akili ni biashara kichaa unainvest sana ila faida kidogo kutokana na operating costs zake .

Huyo Mengi hata Rostam Azizi hakuwahi kumfikia kwa pesa na huyo Shirima ndio kabisa.

Hayo mabus ni kawaida na faida yake ni ndogo waarabu walishamove huko kitambo ....Dunia inaenda mbali wanaowin ni wamiliki wa viwanda vikubwa hayo mabus ,hotels ni biashara za kizamani.

Huyo Aboud ana mabus mangapi !? Je unaweza kufananisha na hayo matajiri wako wa migombani kweny fleet capacit

Inawezekana mtu anayetumia Airbnb akapiga pesa kibao kwa udalali ya kupangisha bila gharama nyingine..

Hata wachaga wenzio wanaojitambua walishamove hizo biashara hazilipi na matajiri wa shule ,mabus ni wa zamani yaani mambo ya miaka 20 nyuma .
 
House girls wa kichaga Dar ni wa kumwaga mfano mzuri ni j.kiria. Pia bar maid wa kichaga ni kama mvua
All in all mchaga anaisaka pesa popote ilipo. Kwa kifupi ni hard workers
Ni wambulu si wachagga, Wambulu toka Manyara, tofautisha maziwa na tui la nazi.
 
Hizo tuzo wanapewa wengi...bonite,tpc,serengeti brew,harsho yeye muuza pombe ya buku awazidi ulipaji kodi...snowcrest sio mali yake alishindwa kulipa mkopo ikauzwa mda mrefu tu
Una ka element ka kuelewa mambo ila bado una story za vijiwe vya shoe -shine za hapa Moshi kwa hawa wa-URU.
Snow crest Tarimo alishinda kesi mwaka 2014 na ndio aliamua kuuza hisa.
HARSHO ni mtoto sana kwa Wilfred.
Bonite kama kiwanda kikisimama pekee hakifikii mauzo ya Tarimo, Serengeti huyu Tarimo ndio agent mkuu, karibu bia zake zote ananunua Tarimo nayeye ndio anaziuza.
 
Masihara haya, kwahiyo mauzo ya tarimo ni makubwa kuliko bonite, means tarimo ni tajiri kuliko Mengi au 🫢 Jaji Mfawidhi
 
Me ni mchaga 100% , Nakuthibitishia hili Ma house girl wa kichaga wapo wengi sana hapa Dar, Bar maids wapo wengi sana hasa Moshi na Arusha, Malaya wapo wa kutosha, Wapiga debe wapo wa kutosha, Wachaga choka mbaya wasio na muelekeo wapo wa kutosha (Omba omba sio lazima asimame barabarani)
 
Ulisha vijana viroba vya high life,unaitwa Bilionea
 
Ulisha vijana viroba vya high life,unaitwa Bilionea
Kwamba viroba ni HARAM kwa sheria za jamhuri ya Tanganyika?
Wewe ni BUMUNDA, bora sabuni ingetumika ama njia nyingine ya asili ila si hii hasara kwa jamii !

Biashara ya vileo inatekelezwa kwa kufuata Sheria ya mwaka 1968, kifungu 28 (Liquor licence act No.28 of 1968) na marekebisho ya Sheria hiyo yaliyofanywa 2004

UTARATIBU WA UPATIKANAJI WA LESENI ZA VILEO/POMBE:​

Maombi yote mapya ya leseni za vileo ni lazima yapitishwe na wataalam ambao wameainishwa kwenye fomu ya maombi, (Afisa Afya, Afisa Ardhi, Afisa Biashara, Polisi na Maendeleo ya Kata husika
Maombi yote yanayorudiwa (Renewal) yapitishwe na Mwenyekiti wa Kamati ya maendeleo Kata na yawasilishwe kwa Afisa Biashara anayeshughulikia leseni za vileo kwa utekelezaji.
Leseni za villeo hutolewa vipindi viwili (2) ambayo kipindi cha kwanza huanzia tarehe 01/04 hadi 31/09 na kipindi cha pili huanzia tarehe 01/10 hadi 31/03.

ADA:

Maombi mapya na yanayorudishwa hulipiwa ada kama ifuatavyo: -
  • Tsh.40,000 kwa wale wanaonywesha pombe katika maeneo yao ya biashara (Retailers on) kwa kipindi kimoja.
  • Wale ambao hawanyweshi pombe katika maeneo yao (Retailers off) wanalipia jumla 30,000/= kwa kipindi kimoja.
  • Vile vile wanaouza au kufanya biashara ya vileo kwa jumla (WHOLESALLERS) wanalipia jumla ya Tsh.20,000 kwa kipindi kimoja.
  • Pombe za kienyeji hulipiwa ada Tsh.12, 000 kila kipindi.
  • Members club Tsh.60,000 kwa kipindi (Kwa waliosajiliwa club members).
Aidha wanaoendesha biashara ya vileo bila kufuata taratibu zilizotajwa hapo juu huchukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kupelekwa Mahakamani, kulipishwa faini pamoja na adhabu "penalty" au kufungiwa biashara zao.
 
Masihara haya, kwahiyo mauzo ya tarimo ni makubwa kuliko bonite, means tarimo ni tajiri kuliko Mengi au 🫢 Jaji Mfawidhi
JIFUNZE HAPA:
  • Faida ya Soda moja ni shilingi 15.63
  • Faida ya Pombe chupa moja ni Tshs 638.
Tarimo akiuza chupa moja ni sawa na Wewe uuze soda kreti 42
 
Bar maids sikupingi.
Ni wengi mno hasa bar za kuanzia ubungo mpaka manzese yote, wahudumu wengi ni wachaga.

Chaga ilikua zamani, sasa hivi vijana ni mlenda mlenda mno.
Sijui wakubwa zao hawawaoneshi njia za kupita au ni wabinafsi.
 
L
Vijana wangapi wanaangamia kwa hizo pombe?
Biashara ya vileo inatekelezwa kwa kufuata Sheria ya mwaka 1968, kifungu 28 (Liquor licence act No.28 of 1968) na marekebisho ya Sheria hiyo yaliyofanywa 2004

UTARATIBU WA UPATIKANAJI WA LESENI ZA VILEO:​

Maombi yote mapya ya leseni za vileo ni lazima yapitishwe na wataalam ambao wameainishwa kwenye fomu ya maombi, (Afisa Afya, Afisa Ardhi, Afisa Biashara, Polisi na Maendeleo ya Kata husika

Maombi yote yanayorudiwa (Renewal) yapitishwe na Mwenyekiti wa Kamati ya maendeleo Kata na yawasilishwe kwa Afisa Biashara anayeshughulikia leseni za vileo kwa utekelezaji.

Leseni za villeo hutolewa vipindi viwili (2) ambayo kipindi cha kwanza huanzia tarehe 01/04 hadi 31/09 na kipindi cha pili huanzia tarehe 01/10 hadi 31/03.

ADA:

Maombi mapya na yanayorudishwa hulipiwa ada kama ifuatavyo: -

  • Tsh.40,000 kwa wale wanaonywesha pombe katika maeneo yao ya biashara (Retailers on) kwa kipindi kimoja.
  • Wale ambao hawanyweshi pombe katika maeneo yao (Retailers off) wanalipia jumla 30,000/= kwa kipindi kimoja.
  • Vile vile wanaouza au kufanya biashara ya vileo kwa jumla (WHOLESALLERS) wanalipia jumla ya Tsh.20,000 kwa kipindi kimoja.
  • Pombe za kienyeji hulipiwa ada Tsh.12, 000 kila kipindi.
  • Members club Tsh.60,000 kwa kipindi (Kwa waliosajiliwa club members).
Aidha wanaoendesha biashara ya vileo bila kufuata taratibu zilizotajwa hapo juu huchukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kupelekwa Mahakamani, kulipishwa faini pamoja na adhabu "penalty" au kufungiwa biashara zao.
 
Mme wake Doreen kama alitokea kwenye rumba bas anaingia kwenye list the luckiest mazafakaz
!
Provided huyo mke atamheshimu na kumtii vinginevyo ni mashaka matupu.

To a man respect is fundamental in a relationship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…