Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zote ni biashara kichaa, hakuna tajiri duniani anamiliki hizo assets kichaa .Umeanza utopolo Wako,vipi UNAMJUA mmiliki WA Eckenford Tanga university?
Umamjua mmiliki WA mabus ya KLM,Lim,machame, BM, Happy national ni kina Nani?
Umajua mahotel Arusha Karibu 80% ni ya kina Nani?
Ni wambulu si wachagga, Wambulu toka Manyara, tofautisha maziwa na tui la nazi.House girls wa kichaga Dar ni wa kumwaga mfano mzuri ni j.kiria. Pia bar maid wa kichaga ni kama mvua
All in all mchaga anaisaka pesa popote ilipo. Kwa kifupi ni hard workers
Una ka element ka kuelewa mambo ila bado una story za vijiwe vya shoe -shine za hapa Moshi kwa hawa wa-URU.Hizo tuzo wanapewa wengi...bonite,tpc,serengeti brew,harsho yeye muuza pombe ya buku awazidi ulipaji kodi...snowcrest sio mali yake alishindwa kulipa mkopo ikauzwa mda mrefu tu
Sema hoja yako acha kuniandikia mambo yenu ya facebook hapaUnaumwa
Masihara haya, kwahiyo mauzo ya tarimo ni makubwa kuliko bonite, means tarimo ni tajiri kuliko Mengi au 🫢 Jaji MfawidhiUna ka element ka kuelewa mambo ila bado una story za vijiwe vya shoe -shine za hapa Moshi kwa hawa wa-URU.
Snow crest Tarimo alishinda kesi mwaka 2014 na ndio aliamua kuuza hisa.
HARSHO ni mtoto sana kwa Wilfred.
Bonite kama kiwanda kikisimama pekee hakifikii mauzo ya Tarimo, Serengeti huyu Tarimo ndio agent mkuu, karibu bia zake zote ananunua Tarimo nayeye ndio anaziuza.
Me ni mchaga 100% , Nakuthibitishia hili Ma house girl wa kichaga wapo wengi sana hapa Dar, Bar maids wapo wengi sana hasa Moshi na Arusha, Malaya wapo wa kutosha, Wapiga debe wapo wa kutosha, Wachaga choka mbaya wasio na muelekeo wapo wa kutosha (Omba omba sio lazima asimame barabarani)Huyu jamaa atakuwa hajawahi fika Dar. Anaongelea akiwa huko mkoani. Eti hakuna mchaga Buza! 😂😂 Alafu thamani ya nyumba ya Buza ni mara tatu zaidi ukilinganisha na nyumba au ardhi ya mkoani. Nahisi wa mikoani hili hamlijui.
Ukweli house girl sijawahi kuwaona ila nimeona mabaa medi wengi wa kichaga.
Ulisha vijana viroba vya high life,unaitwa Bilionea
Wilfred Tarimo siyo jina geni kwa watu wa kaskazini hasa mkoa wa Kilimanjaro na Arusha kutokana na baba yao mzazi mzee Lucas Tarimo[Marehemu] kuwa na utajiri kumkaribia Reginald Mengi.
Mtoto wa Lukas Tarimo aitwaye aitwaye Wilfred Lucas Tarimo ambaye sasa ni mmiliki wa Snow Crest lakini pia kampuni ya Dereck Inc Co limited na wanawe na mkewe kwa pamoja yaani WILFRED LUCAS TARIMO, DEDRICK WILFRED TARIMO, DOREEN WILFRED TARIMO , MRS. IRENE WILFRED TARIMO leo amepewa tuzo ya mlipakodi mkubwa moani kilimananjaro, ikumbukwe mwanaye aitwaye Doreen kwenye send off alipewa gari mbili zote zero kilometre, land cruiser milioni 450 na rav 4 ya milioni 150 pamoja na ghorofa shanty town ya thamani ya Tsh. 1.9 Bilioni.
Kwamba viroba ni HARAM kwa sheria za jamhuri ya Tanganyika?Ulisha vijana viroba vya high life,unaitwa Bilionea
JIFUNZE HAPA:Masihara haya, kwahiyo mauzo ya tarimo ni makubwa kuliko bonite, means tarimo ni tajiri kuliko Mengi au 🫢 Jaji Mfawidhi
Bar maids sikupingi.Me ni mchaga 100% , Nakuthibitishia hili Ma house girl wa kichaga wapo wengi sana hapa Dar, Bar maids wapo wengi sana hasa Moshi na Arusha, Malaya wapo wa kutosha, Wapiga debe wapo wa kutosha, Wachaga choka mbaya wasio na muelekeo wapo wa kutosha (Omba omba sio lazima asimame barabarani)
Biashara ya vileo inatekelezwa kwa kufuata Sheria ya mwaka 1968, kifungu 28 (Liquor licence act No.28 of 1968) na marekebisho ya Sheria hiyo yaliyofanywa 2004L
Vijana wangapi wanaangamia kwa hizo pombe?
!Mme wake Doreen kama alitokea kwenye rumba bas anaingia kwenye list the luckiest mazafakaz
!Uadilifu wake umetugharimu familia