Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Status
Not open for further replies.
Katika hili kila team itavutia upande wake ili ionekane kuna kuchafuliwa jina kwasababu ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini ukweli ni kwamba kila mwanasiasa anaangalia maslahiya tumbo lake kwanza kisha mengine ndio yanayofuata.
 
Tangu jana ushahidi wa hilo umeombwa mpaka sasa haupo. Mnatuchanganya tusioamini katika vyama vyenu.
 
Kwahiyo michango unaifananisha na sadaka sio?
 
Hoja yako ndio dhaifu sana kuliko hata yangu, huoni ndugai ndio chanzo cha kutopelekwa hio michango? Kwa hio anawaelekeza wapeleke michango kwa cash? Kwani huo ndio utaratibu? Acheni kuhadaiwa!
 
Wananchi tukimbilie wapi? CCM kuna ng'e na majoka, CHADEMA kuna giza nene na utelezi. Twende wapi?

Tunamhitaji Thomasi Sankara nchi hii.
 
Duh aiseee kama Mungu anakujaalia akili nyingi kama za mbowe aiseee raha sana
 
NILISHASEMA HII NCHI YA WAJINGA NA MAZUZU
Ni upuuz kumshutumu Mbowe ambaye Chama alikabidhiwa na Babamkwe wake kama sehemu ya Mradi wa familia.Kama mnaona anafaidi nanyinyi anzisheni chama chenu.
 
Bavicha hawataki kabisa habi kama hizi,wanapita kimya kimya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…