Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mbowe kishawalamba tena bil 1.9Uchaguzi umekaribia,kwahiyo propaganda kama hizi ni wakati wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe kishawalamba tena bil 1.9Uchaguzi umekaribia,kwahiyo propaganda kama hizi ni wakati wake
Mimi nashangaa kwa nini baadhi ya watu wanamkuza huyu kiumbe?Basi sawa, tumwamini Kigogo 2014 sote, ccm na cdm maana ana anika ukweli tupu kila siku
😀😀😀😀😀Mimi nashangaa kwa nini baadhi ya watu wanamkuza huyu kiumbe?
Anachofanya ni sawa na mtu umelala usingizini halafu anawaambia watu kuwa huyu lazima ataamka. Ukiamka anaanza kusema, unaona niliwaambia kuwa huyu ataamka!
Huko moro Kebwe keshaliwa kichwa
Hyo yote haihalalishi ukwapuaji wa bil 1.9Anaandika Halima James Mdee (Mb), Mjumbe Wa Kamati Kuu CHADEMA.
Sisi wabunge tunaochangia PESA na ambao ni WAJUMBE wa KAMATI KUU tunaopata fursa ya kupata taarifa za MAPATO na Matumizi ya CHAMA TUNATHIBITISHA hakuna hata 100 iliyoliwa na MTU..Wakongwe katika hiki CHAMA tunajua kila mwaka wa UCHAGUZI ukifika kuna CHOKOCHOKO nyingi zinazohusu FEDHA. Najiuliza tu, hivi kama hizo pesa za UMMA zinapigwa na WATU kwenye CHAMA namna hiyo mbona SERIKALI ya CCM tena MAGUFULI anavyotuchukia ASITUFUNGULIE MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI??
Hivi MNAVYOONA SHUGHULI za CHAMA zinaendelea NCHI nzima yenye ukubwa wa sQuare KM 945,087 mnadhani pesa inatoka wapi? Mnavyoona Pikipiki zinakwenda nchi NZIMA sio mara moja au mbili mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnapoona M4C mpya zinanunuliwa mnadhani pesa inatoka wapi?? Sasa hivi CHAMA kiko kwenye Chaguzi NCHI nzima mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnajua gharama za Matibabu ya KAMANDA wetu mpaka sasa hivi IMEGHARIMU kiasi GANI na CHAMA kimeshatumia KIASI gani ??Mnataka SASA tuanze kurusha Twitter AU INSTAGRAM au kwenye HIZI groups???mapato na matumizi ya chama?? Wenyeviti na MAKATIBU wa KANDA zenu WAJUMBE wa KAMATI KUU, wanajua TAARIFA zote za FEDHA. Wafuateni KWENYE ofisi zao wawape Ufafanuzi wa jambo lolote mnalodhani linahitaji ufafanuzi. Ni kweli kuna wabunge ambao UTEKELEZAJI wa TAKWA la KATIBA la KUCHANGIA chama umekuwa ukiwauma SANA.
Hawajawahi kutaka toka awali, hawa ndio walienda kulalamika kwa NDUGAI na Hawa ndio wanafanya kazi na CCM Bungeni kuumiza au kuwachonganisha wabunge wenzao na MHIMILI. Miaka yote kabla 2015, tumekuwa tukichanga kwa kukatwa moja kwa moja na ofisi ya katibu ya Bunge.
Baada ya 2015 tumeendelea kukatwa mpaka hao WAPUUZI wanaojulikana hawajaenda kwa ADUI yetu kumwambia CDM haitetereki sababu wabunge tunachangia na kwamba AKIZUIA CHAMA kitasota, na KWELI YULE PIMBI akazuia. Kumbe wabunge WALIOPELEKA HUO uzushi wamesukumwa na UBINAFSI wao wa KUKOPA mpaka kupitiliza... mpaka kufikia hatua ya kuona MCHANGO HALALI wa KIKATIBA ni HISANI kwa CHAMA.
Wamesahau na SISI huko nyuma tukiwa WACHACHE tulichanga kwa UAMINIFU MKUBWA ndio maana WAO wakapatikana. Tuna wabunge WAFIA CHAMA, lakini pia tuna wabunge MASLAHI . Ni ukweli mchungu!! Tukiimarishe CHAMA , tupate WAWAKILISHI wanaotanguliza MASLAHI ya UMMA na CHAMA kabla ya MASLAHI yao BINAFSI. Nashukuru MUNGU MAGUMU tunayoyapitia MSIMU HUU yanatukomaza na kutufanya TUJUANE ZAIDI.
Ukijisikia ku screen short na kupeleka UCHOCHORONI, peleka TU!
Nimalizie kwa kuwapa dedication ya wimbo MPYA wa ROSTAM na Ney wa MITEGO... usikilize kwa makini.
Ufipa niliambiwa ni makao makuu ya Chadema ni hapo kweli?!!Yeah Hapo ndo mtaa wa Ufipa
View attachment 1212319
CHADEMA wamejikuta wakipoteana mara baada ya mwanachama maarufu katika mtandao wa Twitter Kigogo2014 kuwalipua CHADEMA kwa ufujaji na wizi wa mabilioni ya fedha.
Mwanzoni ndugu Kigogo2014 alipata umaarufu miongoni mwa vijana wa BAVICHA mara baada ya ku tweet leaks mbalimbali ambazo mara nyingi amekua akizipata kwa media House mbalimbali zinapoalikwa Ikulu, Ujanja huu umeaminisha wengi eti anazipata habari ndani ya Idara iliyotukuka yaani TISS.
Moja ya uongo wake wa hivi karibuni ni ule wa Kipilimba kuandaliwa hati ya mashtaka 97 ikiwemo uhujumu uchumi na pia amekamatwa.
Kutokujielewa kwa BAVICHA kumepelekea kumuamini Kigogo2014 Kama mtabiri sasa amewalipua na Pro CHADEMA kama akina Yericko Nyerere wameamua kuanika yote aliyokua akichati na Kigogo mara baada ya kukerwa na ukweli alioutoa Kigogo2014 kuhusu CDM.
Kutokana na Kuishiwa kwa hoja na kupitwa na Wakati Wanachama wengi wa CHADEMA wamekua wakitumia hoja dhaifu za kwenye mitandao ya kijamii kama kipooza maumivu (pain Killer). Ukweli unabakia palepale propaganda za Kigogo2014 haziwezi kuipa CHADEMA unafuu wowote kama ilivyokua kwa Dada wa Taifa Mange Kimambi ambaye mmemchoka sasa baada ya kuwavuna wengi kama Followers wake kwenye mitandao ya k
Aliwaambia ana flash 32 zenye siri za usalama wa taifa! Wamesubiri hadi leo kimyaaaVijana wasioweza kufikiri watateswa sana na Watu wanaofikiri kwa niaba yao
View attachment 1212319
CHADEMA wamejikuta wakipoteana mara baada ya mwanachama maarufu katika mtandao wa Twitter Kigogo2014 kuwalipua CHADEMA kwa ufujaji na wizi wa mabilioni ya fedha.
Mwanzoni ndugu Kigogo2014 alipata umaarufu miongoni mwa vijana wa BAVICHA mara baada ya ku tweet leaks mbalimbali ambazo mara nyingi amekua akizipata kwa media House mbalimbali zinapoalikwa Ikulu, Ujanja huu umeaminisha wengi eti anazipata habari ndani ya Idara iliyotukuka yaani TISS.
Moja ya uongo wake wa hivi karibuni ni ule wa Kipilimba kuandaliwa hati ya mashtaka 97 ikiwemo uhujumu uchumi na pia amekamatwa.
Kutokujielewa kwa BAVICHA kumepelekea kumuamini Kigogo2014 Kama mtabiri sasa amewalipua na Pro CHADEMA kama akina Yericko Nyerere wameamua kuanika yote aliyokua akichati na Kigogo mara baada ya kukerwa na ukweli alioutoa Kigogo2014 kuhusu CDM.
Kutokana na Kuishiwa kwa hoja na kupitwa na Wakati Wanachama wengi wa CHADEMA wamekua wakitumia hoja dhaifu za kwenye mitandao ya kijamii kama kipooza maumivu (pain Killer). Ukweli unabakia palepale propaganda za Kigogo2014 haziwezi kuipa CHADEMA unafuu wowote kama ilivyokua kwa Dada wa Taifa Mange Kimambi ambaye mmemchoka sasa baada ya kuwavuna wengi kama Followers wake kwenye mitandao ya k
Yeah ndio hapo mkuu hawana hata chooUfipa niliambiwa ni makao makuu ya Chadema ni hapo kweli?!!
Hawamkubali tena kigogo2014 wanaona mzushiLeo bavicha hakukaliki, maana kigogo ndio alikuwa source yao muhimu!
Chadema inamilikiwa na Freeman Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!Anaandika Halima James Mdee (Mb), Mjumbe Wa Kamati Kuu CHADEMA.
Sisi wabunge tunaochangia PESA na ambao ni WAJUMBE wa KAMATI KUU tunaopata fursa ya kupata taarifa za MAPATO na Matumizi ya CHAMA TUNATHIBITISHA hakuna hata 100 iliyoliwa na MTU..Wakongwe katika hiki CHAMA tunajua kila mwaka wa UCHAGUZI ukifika kuna CHOKOCHOKO nyingi zinazohusu FEDHA. Najiuliza tu, hivi kama hizo pesa za UMMA zinapigwa na WATU kwenye CHAMA namna hiyo mbona SERIKALI ya CCM tena MAGUFULI anavyotuchukia ASITUFUNGULIE MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI??
Hivi MNAVYOONA SHUGHULI za CHAMA zinaendelea NCHI nzima yenye ukubwa wa sQuare KM 945,087 mnadhani pesa inatoka wapi? Mnavyoona Pikipiki zinakwenda nchi NZIMA sio mara moja au mbili mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnapoona M4C mpya zinanunuliwa mnadhani pesa inatoka wapi?? Sasa hivi CHAMA kiko kwenye Chaguzi NCHI nzima mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnajua gharama za Matibabu ya KAMANDA wetu mpaka sasa hivi IMEGHARIMU kiasi GANI na CHAMA kimeshatumia KIASI gani ??Mnataka SASA tuanze kurusha Twitter AU INSTAGRAM au kwenye HIZI groups???mapato na matumizi ya chama?? Wenyeviti na MAKATIBU wa KANDA zenu WAJUMBE wa KAMATI KUU, wanajua TAARIFA zote za FEDHA. Wafuateni KWENYE ofisi zao wawape Ufafanuzi wa jambo lolote mnalodhani linahitaji ufafanuzi. Ni kweli kuna wabunge ambao UTEKELEZAJI wa TAKWA la KATIBA la KUCHANGIA chama umekuwa ukiwauma SANA.
Hawajawahi kutaka toka awali, hawa ndio walienda kulalamika kwa NDUGAI na Hawa ndio wanafanya kazi na CCM Bungeni kuumiza au kuwachonganisha wabunge wenzao na MHIMILI. Miaka yote kabla 2015, tumekuwa tukichanga kwa kukatwa moja kwa moja na ofisi ya katibu ya Bunge.
Baada ya 2015 tumeendelea kukatwa mpaka hao WAPUUZI wanaojulikana hawajaenda kwa ADUI yetu kumwambia CDM haitetereki sababu wabunge tunachangia na kwamba AKIZUIA CHAMA kitasota, na KWELI YULE PIMBI akazuia. Kumbe wabunge WALIOPELEKA HUO uzushi wamesukumwa na UBINAFSI wao wa KUKOPA mpaka kupitiliza... mpaka kufikia hatua ya kuona MCHANGO HALALI wa KIKATIBA ni HISANI kwa CHAMA.
Wamesahau na SISI huko nyuma tukiwa WACHACHE tulichanga kwa UAMINIFU MKUBWA ndio maana WAO wakapatikana. Tuna wabunge WAFIA CHAMA, lakini pia tuna wabunge MASLAHI . Ni ukweli mchungu!! Tukiimarishe CHAMA , tupate WAWAKILISHI wanaotanguliza MASLAHI ya UMMA na CHAMA kabla ya MASLAHI yao BINAFSI. Nashukuru MUNGU MAGUMU tunayoyapitia MSIMU HUU yanatukomaza na kutufanya TUJUANE ZAIDI.
Ukijisikia ku screen short na kupeleka UCHOCHORONI, peleka TU!
Nimalizie kwa kuwapa dedication ya wimbo MPYA wa ROSTAM na Ney wa MITEGO... usikilize kwa makini.
Umegeuza mkuuHahaha yan mtu akiongea jambo la chadema basi ni ukweli ila akiongea jambo la ccm ni uongo na uzandiki na uzushi