View attachment 1212319
CHADEMA wamejikuta wakipoteana mara baada ya mwanachama maarufu katika mtandao wa Twitter Kigogo2014 kuwalipua CHADEMA kwa ufujaji na wizi wa mabilioni ya fedha.
Mwanzoni ndugu Kigogo2014 alipata umaarufu miongoni mwa vijana wa BAVICHA mara baada ya ku tweet leaks mbalimbali ambazo mara nyingi amekua akizipata kwa media House mbalimbali zinapoalikwa Ikulu, Ujanja huu umeaminisha wengi eti anazipata habari ndani ya Idara iliyotukuka yaani TISS.
Moja ya uongo wake wa hivi karibuni ni ule wa Kipilimba kuandaliwa hati ya mashtaka 97 ikiwemo uhujumu uchumi na pia amekamatwa.
Kutokujielewa kwa BAVICHA kumepelekea kumuamini Kigogo2014 Kama mtabiri sasa amewalipua na Pro CHADEMA kama akina Yericko Nyerere wameamua kuanika yote aliyokua akichati na Kigogo mara baada ya kukerwa na ukweli alioutoa Kigogo2014 kuhusu CDM.
Kutokana na Kuishiwa kwa hoja na kupitwa na Wakati Wanachama wengi wa CHADEMA wamekua wakitumia hoja dhaifu za kwenye mitandao ya kijamii kama kipooza maumivu (pain Killer). Ukweli unabakia palepale propaganda za Kigogo2014 haziwezi kuipa CHADEMA unafuu wowote kama ilivyokua kwa Dada wa Taifa Mange Kimambi ambaye mmemchoka sasa baada ya kuwavuna wengi kama Followers wake kwenye mitandao ya k