Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Status
Not open for further replies.
Sielewi topic hapo, wameiba hela za wananchi wa Tanzania? Au ni makubaliano yao ya kukatana mishahara kama michango ya kukijenga chama. Sioni logic hapo ya kuongelea bilioni 1.9 aaaaah tuacheni utani.
Jiwe kachukua Trilion 2.4 yaani Bilioni 2400, tena za Kodi za wananchi. Hamjawahi kulisemea nyie Lumumba, leo mnakoja na hoja dhaifu isiyo hata na mashiko. Poleni sana, tukutane 2020.
Jua tu kuwa kila pesa mbunge analipwa ni "imetoka kwako"
 
Sielewi topic hapo, wameiba hela za wananchi wa Tanzania? Au ni makubaliano yao ya kukatana mishahara kama michango ya kukijenga chama. Sioni logic hapo ya kuongelea bilioni 1.9 aaaaah tuacheni utani.
Jiwe kachukua Trilion 2.4 yaani Bilioni 2400, tena za Kodi za wananchi. Hamjawahi kulisemea nyie Lumumba, leo mnakoja na hoja dhaifu isiyo hata na mashiko. Poleni sana, tukutane 2020.

Wanaolalamika ni hao waliokatwa mishahara! Sisi tunapaza tu sauti, mbowe arudishe hizo pesa
 
Kuwa mpinzani ni sawa na kuvaa nguo nyeupe , DOA likigusa tuuuu ni balaaa .Ni kweli wakuu fedha zimepigwa, zaidi ya 1.9 Bilioni.

Wakuu ni hivi jumla ya Tsh 1.9 Bilioni, Zimekwapuliwa kwenye account ya Chama, (CHADEMA) Miezi kadhaa iliyopita.

Toka jana Chama kimeshindwa kujenga hoja kabisa juu ya ukwapuliwaji wa hizo fedha, John Mrema amejenga hoja dhaifu kuwahi kutokea, kwa kusema kuwa chama kinachafuliwa kwa kuwa tunaelekea uchaguzi mkuu. Hii ni hoja dhaifu kweli kweli

Ipo hivi, Kwa kawaida wabunge wa viti maalumu CHADEMA huchangia 1, 560, 000 kwa mwezi,

Na wabunge wa majimbo huchangia 520, 000 kila mwezi

Katibu mkuu Dr. Vincent Mashinji, Mwenyekiti Freeman Mbowe na Mweka hazina ndio waweka sahihi kwenye hiyo account. (signatories)

Ni takribani ya miezi 5 sasa wabunge hawaendelei kuchanga fedha hizo (wamegoma) baada ya kubaini kuwa fedha hizo zimekwapuliwa na kupelekwa kusiko julikana

Kama mimi muongo aje mbunge yeyote aseme yeye kama ndani ya hii miezi 5 amechanga zile fedha za wabunge zilizokuwa zinachangwa kila mwezi. Na kama haziendelei kuchangwa kuna nini nyuma ya pazia?

Jiulizeni kwa nini wabunge sasa hawachangi fedha hizo?.... Why hawachangi?... Kuna nini nyuma ya pazia?... Aje mbunge hata mmoja aliyechangia mwezi huu au mwezi uliopita.

Jana Mayor wa ubungo kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter badala ya kujenga hoja, anapiga picha magari ya chama, na kudai hakuna fedha zilizo kwapuliwa, anataka kusema kuwa fedha za michango ya wabunge ile imetumika kununua magari?

Fedha za Ruzuku zilifanya nini? .... Leteni ushahidi kwa nini hawaendelee kuchanga fedha kama ilivyo kuwa awali?

Jana Joseph Selasini akijibu hoja hiyo ameweza kukubali kuwa ni kweli Wabunge hawaendelei kuchanga kwa takribani ya mezi 5 kwa kile alicho kieleza kuwa spika amegoma kuwakata.

Mjiulize kwa nini Ndugai amegoma kuwakata?... Kama ameshindwa kuwakata na nyie mpo safi na hakuna upotevu wa hizo fedha za wabunge kutoka account ya ECO Bank, mmeshindwa kuitisha kikao kutafuta njia mbadala ya wabunge kuendelea kuchanga?...Why mnakwepa vikao?

Nimalize kwa kusema, Hao wanaotetea kwamba Fedha zimetumika kununua magari au pikipiki. Je wanajua wanachokifanya? Hawaoni kama wanazidi kukichafua chama?

Haya wabunge njooni sasa, uwanja ni wenu, semeni ni lini mmechanga hizo fedha?

Yani CHADEMA ya sasa haina maana kabisa muda wa kufanyika kwa uchaguzi kwa mujibu wa kalenda ya Chama umeshapita na Mbowe hataki kabisa kuitisha uchaguzi labda kwa sababu anahofia madudu yake kubainika.

Alwatan Lizigo; unaamini kabisa Ndugai anaweza ku-facilitate mishahara ya wabunge ikatwe kama michango kwa CHADEMA?
 
View attachment 1212319

CHADEMA wamejikuta wakipoteana mara baada ya mwanachama maarufu katika mtandao wa Twitter Kigogo2014 kuwalipua CHADEMA kwa ufujaji na wizi wa mabilioni ya fedha.

Mwanzoni ndugu Kigogo2014 alipata umaarufu miongoni mwa vijana wa BAVICHA mara baada ya ku tweet leaks mbalimbali ambazo mara nyingi amekua akizipata kwa media House mbalimbali zinapoalikwa Ikulu, Ujanja huu umeaminisha wengi eti anazipata habari ndani ya Idara iliyotukuka yaani TISS.

Moja ya uongo wake wa hivi karibuni ni ule wa Kipilimba kuandaliwa hati ya mashtaka 97 ikiwemo uhujumu uchumi na pia amekamatwa.

Kutokujielewa kwa BAVICHA kumepelekea kumuamini Kigogo2014 Kama mtabiri sasa amewalipua na Pro CHADEMA kama akina Yericko Nyerere wameamua kuanika yote aliyokua akichati na Kigogo mara baada ya kukerwa na ukweli alioutoa Kigogo2014 kuhusu CDM.

Kutokana na Kuishiwa kwa hoja na kupitwa na Wakati Wanachama wengi wa CHADEMA wamekua wakitumia hoja dhaifu za kwenye mitandao ya kijamii kama kipooza maumivu (pain Killer). Ukweli unabakia palepale propaganda za Kigogo2014 haziwezi kuipa CHADEMA unafuu wowote kama ilivyokua kwa Dada wa Taifa Mange Kimambi ambaye mmemchoka sasa baada ya kuwavuna wengi kama Followers wake kwenye mitandao ya k
Baada ya kumaliza kuleta huu upuuzi tayari Dawa zimejaa hospitalini?
 
Sasa hiyo ni vita gani ambayo mtu mmoja hajulikani ni nan na yupoje

Hiyo sio vita ila ni VITIMBI tu vya mitandaoni
 
Ni mwana CCM sema tu hampendi Rais JPM lakini pia upande mwingine ni Mpinzani sema tu hampendi Mwenyekiti Taifa CHADEMA Freeman Mbowe. Kama Wewe ni Mtundu na Mtu mwenye ‘ Kujiongeza ‘ vyema kupitia tu ‘ Ugomvi ‘ wake na Yericko Nyerere huko ‘ Twitter ‘ bila shaka utakuwa umeshamjua kama ambavyo Mimi An Eagle nimeshamjua tayari.

Kama na Wewe umeshamjua kama Mimi basi nakuomba kaa Kimya na tufurahie zetu Kimoyomoyo tu. Na bahati nzuri sana wengi wenu mlijua kuwa ni Kikundi cha Watu lakini kama uko makini utakubaliana nami kuwa wala siyo Kikundi cha Mtu bali ni Mtu Mmoja tu sema ana ' Connection ' kubwa ya Watu wa ' System ' ikiongozwa na Rafiki yake aliyewahi kuwa ' System ' miaka ya nyuma.

Kitaaluma pia ni Mchumi mzuri tu lakini pia ni ' Mwanasiasa ' vile vile ambaye Chimbuko lake ni kutoka Chama fulani ( lakini siyo CCM ) na amebarikiwa mno kuwa na ' Exposure ' ya hali ya juu ya mambo mbalimbali na ni mpenda Kusoma sana Vitabu ili Kujiongezea Maarifa zaidi na mbalimbali. Na hata Kiutajiri pia anao kwani kwa Kitendo chake cha kuwa CCM huku muda mwingine akiwa ni Mpinzani na akiwachanganya zaidi Watanzania kumemsadia kuweza ' Kutumika ' vizuri kama ' Propagandist ' na Mtu ambaye anageukageuka hasa Kimitizamo na Ujengaji wake wa Hoja.

Na hata akiwa Pichani mara nyingi Sura yake huwa ni ya Kiupole mno huku akijionyesha ni Mtu mwenye Heshima na Ukarimu sana. Na ukaribu wake na Viongozi wakubwa wa nchi hii ( wakiwemo Wastaafu ) kumemsaidia zaidi kumfanya awe karibu mno na mambo Nyeti ya Serikali huku pia akijuana na Watu walioko Jikoni kabisa huko huko Idarani Nyeti ambao ndiyo humpa ' Latest Information ' japo kwa Siku za karibuni amenza kupata shida Kuzipata huku taratibu akionekana kurudi kule kule CCM alikokuwa mwanzoni na Kukuchukia CHADEMA na hasa hasa Mwenyekiti wake Taifa Mbowe.

Kama bado hujamjua pole nasema tena pole na namalizia pole!
Nadharia
 
Sasa hiyo ni vita gani ambayo mtu mmoja hajulikani ni nan na yupoje

Hiyo sio vita ila ni VITIMBI tu vya mitandaoni

Nimekulazimisha uamini nilichokiandika hapa? Na Kwako Wewe neno Vita unaelewa tu ni mpaka Watu wapigane au wagombane kwa Kutumia Silaha? Pathetic.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom