Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Mkuu Africa hakuna upinzani narudia Tena hakuna hakuna.Kila mmoja anaangalia tumbo lake basi.Kitakacho ibadili Africa ni moyo wa kizalendo wa muhusika aliyeko madarakani na Vinginevyo nchi zilizotawaliwa na upinzani zinalia na ufisadi mtupu.Waulizwe majirani.Ukipitisha mgombea binafsi basi tegemea nchi kuwa ya familia.WALE TULIOWATEGEMEA WAWE WATETEZI WETU NDO WANAGEUKA KUWA WABAYA ZAIDI?!!!