GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Still Assumption
Logically ' assumptions ' can lead you to the reality.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Still Assumption
Vita isiyoumizaNimekulazimisha uamini nilichokiandika hapa? Na Kwako Wewe neno Vita unaelewa tu ni mpaka Watu wapigane au wagombane kwa Kutumia Silaha? Pathetic.
Dah! Wangepoteza/wangepiga 1.9 Trln. si ingekua wamevunja rekodi? Maana anayeshikilia rekodi kwa sasa amepoteza/amepiga 1.5 trln.kama ni kweli , hiyo bil 1.9 iliyopotea CHADEMA wangekuwa wana dola ingepotea tril 1.9
Kuwa mpinzani ni sawa na kuvaa nguo nyeupe , DOA likigusa tuuuu ni balaaa .Ni kweli wakuu fedha zimepigwa, zaidi ya 1.9 Bilioni.
Wakuu ni hivi jumla ya Tsh 1.9 Bilioni, Zimekwapuliwa kwenye account ya Chama, (CHADEMA) Miezi kadhaa iliyopita.
Toka jana Chama kimeshindwa kujenga hoja kabisa juu ya ukwapuliwaji wa hizo fedha, John Mrema amejenga hoja dhaifu kuwahi kutokea, kwa kusema kuwa chama kinachafuliwa kwa kuwa tunaelekea uchaguzi mkuu. Hii ni hoja dhaifu kweli kweli
Ipo hivi, Kwa kawaida wabunge wa viti maalumu CHADEMA huchangia 1, 560, 000 kwa mwezi,
Na wabunge wa majimbo huchangia 520, 000 kila mwezi
Katibu mkuu Dr. Vincent Mashinji, Mwenyekiti Freeman Mbowe na Mweka hazina ndio waweka sahihi kwenye hiyo account. (signatories)
Ni takribani ya miezi 5 sasa wabunge hawaendelei kuchanga fedha hizo (wamegoma) baada ya kubaini kuwa fedha hizo zimekwapuliwa na kupelekwa kusiko julikana
Kama mimi muongo aje mbunge yeyote aseme yeye kama ndani ya hii miezi 5 amechanga zile fedha za wabunge zilizokuwa zinachangwa kila mwezi. Na kama haziendelei kuchangwa kuna nini nyuma ya pazia?
Jiulizeni kwa nini wabunge sasa hawachangi fedha hizo?.... Why hawachangi?... Kuna nini nyuma ya pazia?... Aje mbunge hata mmoja aliyechangia mwezi huu au mwezi uliopita.
Jana Mayor wa ubungo kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter badala ya kujenga hoja, anapiga picha magari ya chama, na kudai hakuna fedha zilizo kwapuliwa, anataka kusema kuwa fedha za michango ya wabunge ile imetumika kununua magari?
Fedha za Ruzuku zilifanya nini? .... Leteni ushahidi kwa nini hawaendelee kuchanga fedha kama ilivyo kuwa awali?
Jana Joseph Selasini akijibu hoja hiyo ameweza kukubali kuwa ni kweli Wabunge hawaendelei kuchanga kwa takribani ya mezi 5 kwa kile alicho kieleza kuwa spika amegoma kuwakata.
Mjiulize kwa nini Ndugai amegoma kuwakata?... Kama ameshindwa kuwakata na nyie mpo safi na hakuna upotevu wa hizo fedha za wabunge kutoka account ya ECO Bank, mmeshindwa kuitisha kikao kutafuta njia mbadala ya wabunge kuendelea kuchanga?...Why mnakwepa vikao?
Nimalize kwa kusema, Hao wanaotetea kwamba Fedha zimetumika kununua magari au pikipiki. Je wanajua wanachokifanya? Hawaoni kama wanazidi kukichafua chama?
Haya wabunge njooni sasa, uwanja ni wenu, semeni ni lini mmechanga hizo fedha?
Yani CHADEMA ya sasa haina maana kabisa muda wa kufanyika kwa uchaguzi kwa mujibu wa kalenda ya Chama umeshapita na Mbowe hataki kabisa kuitisha uchaguzi labda kwa sababu anahofia madudu yake kubainika.
Hili nalo nenoNiliwahi kusema kuhusu kigogo
Wachangiaji zaid ya 109 walinibeza hasa Wapinzan.
Nilisema hivi,kigogo2014 ni agent Wa serikali na anajulikana na serikali.
Lakin hii ni project ya serikal baada ya kujifunza Kwa akina Mange kimambi, kuwa na giants Wa social media aliye nje ya mfumo ,inatoa mwanya mkubwa Wa kushindwa ku control social media
Sasa wapinzan wakadhan wamepata mbadala Wa akina Mange , kumbe walikua wamepata Trojan horse.
Wengine walianza kumpa endorsement Kibao huko Twitter,
Kama ilivo Kwa sleeper agents ,kigogo ameanza kazi aliyopaswa kuifanya rasmi,
1.ana orchestrate mgogoro Wa act na chadema
2. Ana orchestrate mgogoro Wa wapinzan binafsi ,mfano nondo na yerico
3.ana vunja back borne ya upinzan, baada ya kupata iman ya wafuasi hasa wapinzan ,Sasa anajua anaaminika, anaanza kutema sumu za maana
Kila asemacho asilimia kubwa wanaamin.
Na In short kigogo ni 24 hrs yuko active ,unadhan ni robot ?
Watu Wana shift za kuandika kwenye page ya kigogo , ni office sio mtu
2.4t = 2,400,000,000,000/= CCMDah haya mavyama Ni shida tupu, yaani ccm chini ya magu 2.4 trilioni hazieleweki, upande wa chadema 1.9 bilioni duh.watanzania wanyonge watakimbilia wapi? Kwa kweli wanasiasa Ni shida.
Duh!! So wewe imekuuma sana?Mbona hoja yako dhaifu Sana hi.Kama ndugai hawakati Hakuna tatizo si ina maana pesa wanabaki nazo wenyewe SI wazipeleke wenyewe.mfano mimi unatakiwa unikate laki moja kwenye mshahara wangu ili ziende chadema hujanikata Mimi SI nizipeleke.Mleta mada Yuko sahihi wamegoma kuchangia wangekuwa haeajagoma hizo pesa wangezipeleka wrnyewe kwa cash au kuagiza benki zao wa transfer hiyo michango toka kwenye akaunti zao ziende akaunti ya chadema.Wamegoma
Hapa wataishia kutetea kuwa wanachafuliwa...Mmawia MWALLA Salary Slip Return Of Undertaker Chakaza chuma cha mjerumani
n.k.
Eti imekuwaje? Unajua hiki ni chama kinachosimamia yale mengi munapenda nyie wadau wa humu..
Yaani mnavyoteseka hadi huruma. Huu upuuzi mtaacha lini?
Chadema ni msitu mnene 😂😂😂Chadema bado kinahitaji fedha kujiendesha, hizi propaganda zenu za bilioni 1.9 hazitasitisha shughuli za Chadema. Wote kwenye akili wanaelewa jinsi gani ccm inavyohaha kufarakanisha Chama hiki ambacho wanaamini kuwa ipo siku kitakufa.
Kama wametumia zaidi ya trilioni 2.4 kwenye mambo yasiyojulikana, wameteka watu wetu na kuumiza na kuua, kuwanunua madiwani na wabunge, kuwaonga wanachama wetu vyeo lakini Chadema bado ni msitu mnene, tujiulize kwa nini propaganda nyingi zisiwepo. Kama mwanachadema stand for your right
Vyote.nape kapiga gari la chama kimyakimya.January mabilioni huko nssfUpigaji au kutokuhoji mkuu?
Wabunge wengi wa CHADEMA walimtonya asiendelee kuwakata hela zao zinaliwa na mchwa kwenye account ya ECO benki.Sasa kama Ndugai hawakati si unaona kabisba yuko nyuma ya huu mchezo?
Yeye kinamhusu nini kuibiwa au kukwapuliwa hela ndani ya chadema?
Kwanini asiendelee na utaratibu wake Wa kukata kama ilivyokua awali? Au kuna wabunge Wa Chadema waliomlalamikia kuhusu suala hilo?
Kua usitukate hela maana hatuoni au haturidhishwi na matumizi yake? Yaani ni kama unavyotoa sadaka na kuondoka, kuibiwa haikuhusu
Ndugai aache kusambaza na kuvumisha usanii wake Wa kutaka wenzao Chadema washindwe hata kujiendesha, hivyo kuipa ccm kushinda uchaguzi bila kupingwa na kutuletea maboya!
Point,napigia msumari.Niliwahi kusema kuhusu kigogo
Wachangiaji zaid ya 109 walinibeza hasa Wapinzan.
Nilisema hivi,kigogo2014 ni agent Wa serikali na anajulikana na serikali.
Lakin hii ni project ya serikal baada ya kujifunza Kwa akina Mange kimambi, kuwa na giants Wa social media aliye nje ya mfumo ,inatoa mwanya mkubwa Wa kushindwa ku control social media
Sasa wapinzan wakadhan wamepata mbadala Wa akina Mange , kumbe walikua wamepata Trojan horse.
Wengine walianza kumpa endorsement Kibao huko Twitter,
Kama ilivo Kwa sleeper agents ,kigogo ameanza kazi aliyopaswa kuifanya rasmi,
1.ana orchestrate mgogoro Wa act na chadema
2. Ana orchestrate mgogoro Wa wapinzan binafsi ,mfano nondo na yerico
3.ana vunja back borne ya upinzan, baada ya kupata iman ya wafuasi hasa wapinzan ,Sasa anajua anaaminika, anaanza kutema sumu za maana
Kila asemacho asilimia kubwa wanaamin.
Na In short kigogo ni 24 hrs yuko active ,unadhan ni robot ?
Watu Wana shift za kuandika kwenye page ya kigogo , ni office sio mtu
Kama hawakatwi wanapewa pesa yote, nini kinawazuia wasizipeleke wenyewe kwa mfumo mwingine?Sasa kama Ndugai hawakati si unaona kabisba yuko nyuma ya huu mchezo?