Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi haya ndio makao makuu ya hii saccoa kwa miaka 26? ni nyumba ya nani hii?,ama kweli wajinga ndo waliwao.View attachment 1212319
CHADEMA wamejikuta wakipoteana mara baada ya mwanachama maarufu katika mtandao wa Twitter Kigogo2014 kuwalipua CHADEMA kwa ufujaji na wizi wa mabilioni ya fedha.
Mwanzoni ndugu Kigogo2014 alipata umaarufu miongoni mwa vijana wa BAVICHA mara baada ya ku tweet leaks mbalimbali ambazo mara nyingi amekua akizipata kwa media House mbalimbali zinapoalikwa Ikulu, Ujanja huu umeaminisha wengi eti anazipata habari ndani ya Idara iliyotukuka yaani TISS.
Moja ya uongo wake wa hivi karibuni ni ule wa Kipilimba kuandaliwa hati ya mashtaka 97 ikiwemo uhujumu uchumi na pia amekamatwa.
Kutokujielewa kwa BAVICHA kumepelekea kumuamini Kigogo2014 Kama mtabiri sasa amewalipua na Pro CHADEMA kama akina Yericko Nyerere wameamua kuanika yote aliyokua akichati na Kigogo mara baada ya kukerwa na ukweli alioutoa Kigogo2014 kuhusu CDM.
Kutokana na Kuishiwa kwa hoja na kupitwa na Wakati Wanachama wengi wa CHADEMA wamekua wakitumia hoja dhaifu za kwenye mitandao ya kijamii kama kipooza maumivu (pain Killer). Ukweli unabakia palepale propaganda za Kigogo2014 haziwezi kuipa CHADEMA unafuu wowote kama ilivyokua kwa Dada wa Taifa Mange Kimambi ambaye mmemchoka sasa baada ya kuwavuna wengi kama Followers wake kwenye mitandao ya k
Wamebaki kusema Ati Rais Hajui kimombo
Juzi akachakaza kimombo sadc imesmama hawana la kusema sasa
Warudi kwa mange
HAWAAMINI KINACHOWATOKEALeo bavicha hakukaliki, maana kigogo ndio alikuwa source yao muhimu!
Kina Chakaza, Bak na magenge yao huwaambii kitu kwa MboweHalafu kuna wapumbavu wengi hapo wameaminishwa chama huendeshwa kwa pesa binafsi za Mbowe,mara anakikopesha chama.
Kutegemea et hao jamaa wakishika dola kutakuwa na jipya ni zaidi ya ukichaa.
Na Mbowe anawapenda sana mazuzu kama wewemlikuja na drama ya matumizi mabaya ya CDM kununua gari moja tu milioni mia na ushehe.. likapita wakati nyie MEKO kasepa na 2.4 trioni mpaka leo hakuna kitu mmenuulia mwapinzani zote zimekwisha ndo mmeibuka na hii ya 1.9 b ya kuchonga kutoka lumumba.. shubbameeeett shwain 😛
Na zwazwa kama wewe ndo meko anawapenda kwa uzwazwa wenuNa Mbowe anawapenda sana mazuzu kama wewe
Amesha tweet ana kejeli Mkutano wa CDM Kahama ambao hauna Maudhui anwacheka akina Yeriko Nyerere😀😀😀😀Daah kigogo kahamia kwao?
Walivyo vinyonga wataanza kumponda wakati alikua mchiz wao
😀Hivi haya ndio makao makuu ya hii saccoa kwa miaka 26? ni nyumba ya nani hii?,ama kweli wajinga ndo waliwao.
Lofa katika ubora wakoKatika kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za kitaa, tutashudia mambo mengi ikiwa ni pamoja na kashifa na betrayal nyingi sana, watu wanatakiwa kuelewa ya kipindi hiki kina maana gani hasa katika maisha yao, wanatakiwa kutambua ya kwamba vyama vya upinzani vinapitia katika hali gani kwa sasa, lakini pia wanatakiwa kufahamu ya kwamba siyo kila umuonae anaweza kuwa msaada kwako
Mkuu hakuna chama chenye transparency kwenye mambo ya pesa, Ni uwongo sio upinzani wala ccm.hongereni mnaoamini hayo mavyama.Nilikuwa nashangaa sana Chama kinaongozwa na mchanga alafu anachukua hela za CDM kila mwezi, aache kupiga, kuna issue ya ruzuku kila mwezi ya CDM nasikia ukiuliza auditing report yake, unafukuzwa CDM haraka.. Transparence ZERO.
Mkuu mavyama yote ndo yalivyo, maneno meengi nyuma ya pazia majizi.nikimkumbuka nape Na January sina hamuChadema ni majizi siku zote