Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Status
Not open for further replies.
WALE TULIOWATEGEMEA WAWE WATETEZI WETU NDO WANAGEUKA KUWA WABAYA ZAIDI?!!!
Mkuu Africa hakuna upinzani narudia Tena hakuna hakuna.Kila mmoja anaangalia tumbo lake basi.Kitakacho ibadili Africa ni moyo wa kizalendo wa muhusika aliyeko madarakani na Vinginevyo nchi zilizotawaliwa na upinzani zinalia na ufisadi mtupu.Waulizwe majirani.Ukipitisha mgombea binafsi basi tegemea nchi kuwa ya familia.
 
Hivi ruzuku ya ccm huwa wanapokea shs ngapi kila mwezi?

Na huwa wanazifanyia nini?

Kila mwaka kabla ya uchaguzi mkuu ccm huwa wanaiba hela za serikali,mfano akaunti ya mfuko wa EPA wakati wa NKAPA,na ESCROW akaunt wakati wa mkwere,hizi fedha huwa wanazitumiaje kwenye uchaguzi?
Kuna tetesi kwamba huwa wanawanunua wapinzani wao,na kuwahonga wapiga kura,hivi ni kweli?
 
Lumumba ubongo kidogo mkisikia ya chadema viuno vinawakaa Juu Kama ingee mavi yote yanayo fanywa na jiwe mnayaona ila kwa sababu nyinyi ni mateka wa Chato endereeni kuvizia umbea mnaoutengeneza nyinyi na kuushangilia wenyewe
 
Nilikuwa nashangaa sana Chama kinaongozwa na mchanga alafu anachukua hela za CDM kila mwezi, aache kupiga, kuna issue ya ruzuku kila mwezi ya CDM nasikia ukiuliza auditing report yake, unafukuzwa CDM haraka.. Transparence ZERO.
Acha umbea mtoto wa kiume, ebbo!
 
Hivi ruzuku ya ccm huwa wanapokea shs ngapi kila mwezi?

Na huwa wanazifanyia nini?

Kila mwaka kabla ya uchaguzi mkuu ccm huwa wanaiba hela za serikali,mfano akaunti ya mfuko wa EPA wakati wa NKAPA,na ESCROW akaunt wakati wa mkwere,hizi fedha huwa wanazitumiaje kwenye uchaguzi?
Kuna tetesi kwamba huwa wanawanunua wapinzani wao,na kuwahonga wapiga kura,hivi ni kweli?
Ruzuku ni tofauti na hizo 1.9bilion za Kigogo 2014!
 
Hahahaaaa.........Kigogo 2014 kabadili hali ya hewa hapa Jf!

Ndio ilikuwa main source yao CHADEMA ya habari za ndani either kwa serikali au CCM, yaani ilikuwa huyo Kigogo akisema basi without ku confirm tayari Bavicha humu na CDM in general wanabeba umbea wote kuwa ni habari, mwanzoni walimtegemea most senior prostitute, harlot in US Mange, sasa hana habari tena.. So you can see hizo ndio akili za CDM. Ukiwaita nyumbu au shithole kelele zinaanza
 
Kama mbunge Halima Mdee ameibuka na kujibu tuhuma basi uelewe hizo taarifa ni rasmi!

Haaa, achana na Halima ana frustrations za kukosa mwanamme wa kumkaza sawa sawa. Dildos won't replace a man.. Nature is nature. Haaa, Halima njoo CCM tuko wanaume wa kazi, alafu sauti ya zege CCM hatutaki. Haa am kidding
 
Hakika ujinga mzigo. Hivi hizo milioni 1,900 zilikuwa zimechangiwa kwa muda gani? Na wabunge wangapi ilio nao Chadema? Huyo kigogo2014 ameshindwa nini kuleta hesabu ndogo kama hiyo toka aambiwe aweke mezani?
Maana michango ya wabunge sio siri na idadi yao inafahamika aweke mezani tuone ukweli wake. Sisi wengine hatukatai kuwa ubadhilifu hauwezi kutukea bali isiwe ni kwa nadharia za kijinga kama zile "unamuona yule! Kanawiri atakuwa anaiba tuu" huo ni ujinga kabisa!
Na kwa nini "wizi wa Mbowe" huwa ni hadithi za kuelekea uchaguzi, ukipita inageuka sio wizi tena bali usultani?
Wanachadema hawataki kwa wakati huu kumuacha nje ya Chadema Mbowe na ndio maana wanamchagua sio kwa hila bali kwa uwazi. Lakini wanachama wa CCM eti ndio hawataki Mbowe awe mwenyekiti! Shida ya nini kusemea nje? Maana katiba ya Chadema iko wazi ni nani anahaki ya kupiga kura.
Niwashauri watu wa CCM, nendeni mkajiunge Chadema mkipiganie chama na wanachama watawachagua kuwa wajumbe wa Baraza kuu na kuwa na sifa za kuchagua viongozi kisha mtapata nafasi ya kumpiga chini Mbowe.
Vinginevyo mtapata taabu sana mkiwa nje na Mbowe yupo hapo juu kuwatwanga bila kupepesa macho.
 
Haaa, achana na Halima ana frustrations za kukosa mwanamme wa kumkaza sawa sawa. Dildos won't replace a man.. Nature is nature. Haaa, Halima njoo CCM tuko wanaume wa kazi, alafu sauti ya zege CCM hatutaki. Haa am kidding
Ndio CCM kuna wanaume wa kazi, lakini pia mpo wa (se-nge) wa kutosha. Bladibasketboli.
 
Kuchangia huu uzi bila mleta mada kuwa na proof document ni matumizi mabaya ya rasilimali muda.
 
Ukiinanga CCM machadema yanashangilia bila hata kuuliza supporting documents na yata share kila mahali ila msumari umepigwa kwao sasa ...ni mayowe kama mtoto kakutana na ngongoti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
2.4t = 2,400,000,000,000/= CCM
1.9b= 1,900,000,000/= Chadema

Namba hizoo...
Acha kulinganisha uzushi na vitu vyenye uhalisia. Hiyo 2.4T imetoka wapi? Lakini hizo 1.9b zina ushahidi kwasbb wenye hela zao ambao ni wabunge wamelalamika.
 
Kwa hiyo kupotea bilion na uchaguzi wa mbowe vinaingiliana vipi hapo
Unashindwa kutambua kwamba Mbowe kama mwenyekiti wa taifa wa chama lazima awajibike. Njia mojawapo ya kuwajibika ni kuachia madaraka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom