Bilioni 11 kununua taa tu?

Bilioni 11 kununua taa tu?

Great thinkers na wataalamu wa taa hii gharama ni Sahihi au watu wanakusanya za uchaguzi?
Yeah ni bilion moja kila taa maana Kuna ghrama za visibility study, Kwa kila eneo ambalo ni 78 millions,then Environmental services and study papillitis ambazo ni 450.m then Kuna gharama za wataaalam kwenda kufanya EIA ambazo wakienda wataaalam 46 na kila mmoja gharama ilkua milion kumi jumla ni 460 m. na installation ambazo ni is almost 50k Kwa kila moja .... So tupo pamoja na hakuna anaye lihujum taifa ndugu zangun
 
Great thinkers na wataalamu wa taa hii gharama ni Sahihi au watu wanakusanya za uchaguzi?
wewe unajua masharti ya uwanja wa ndege? taa ni lazima ziwe zile zenye viwango vya kimataifa zilizoidhinishwa na mashirika ya kimataifa,vinginevyo ndege zao hazitatua hapo sasa unajua bei zake?
 
Siwezi kubisha katika airports taa zina gharama kuanzia bei hadi installation na uendeshaji.
Japo wataiba lakini gharama zitakaribia hio gharama tajwa.
Mkuu kuna upigaji mkubwa sana hapo...
Mkubwaa
 
Kuna taa hadi za trillions
Wewe umezoea bei za balbu za baiskeli yako
 
Acha ujinga wewe,ulipo hapo hujui chochote kuhusu mfumo wa manunuzi wa Umma ila unapayika tuu.

Nchi Ina Siri zake sio za kununua taa.
Kwani tunagombana hapa?
Wewe Sema bajeti ni Sahihi au sio Sahihi. Hayo mengi yaache
 
Back
Top Bottom