Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

Tatizo si tamko la mama Samia, tatizo ni jinsi tamko hilo linavyoweza kuwa blank cheque kwa wapigaji.
kila sheria ina makusudio yake, lakini inapokuwa inatekelezwa na bado ikashindwa kuzuia kile kinachokusudiwa kuzuiwa, inageuka kuwa upuuzi.

Katika manunuzi hata sheria zikifuatwa, bado kuna mianya kwa wapigaji. Lakini kwavile wana akili, siku zote wapigaji hufuata sheria.
 
Ndio
 
Hivi Sophia Mjema ana mume? Nataka nitupe karata yangu pale ananivutia sana
 
Hivi Sophia Mjema ana mume? Nataka nitupe karata yangu pale ananivutia sana
Usijali kama ana mtu, we tekeleza wajibu wako kwa kujaribu zari ili kumtendea na yeye haki yake.
 
Ngoja mm nisiojua sheria na taratibu za procurement nikae kimya nisije onekana namtukana mama wa watu wakati kaisha sifiwa kwa uchapa kaz wake
 
Safi Sana hii
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Safi Sana Mhe RC
 
Kazi nzuri sana RC,

CHAPA KAZI TU
 
Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…