Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Rais ni taasisi siyo mtu; wacha kucomplicate vitu vidogo. Ni sahihi tu kusema Rais Samia ametoa bilioni 11.Hana fedha za kugawa kwa wananchi msilazumishe kufurahisha nafsi zenu.
Kwanj wewe hujui fedha hizo kuwa ni za umma? Unaumiaje ikisemwa kuwa Rais ametoa fedha? Huyo ni Rais wa Watanzania anawakilisha watanzania.