Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

Huyo mama si tu hana busara lakini atashindwa kazi sababu za Utawala Bora.
Uendeshaji wa serikali si kwa matamshi ya wanasiasa bali Govt standing orders ambazo haziwezi kukiukwa.
Ngoja CAG aje na aone uozo wa kutoa kazi na ndio tutajua mbivu na mbichi.
Hii kanuni zote lazimaziabide na muda wa mradi, Mengine ni usaliti tu
 
Hizo fedha siyo za rais Samia !

Hizo fedha ni za watanzania rais hana fedha hapa nchini.

Fedha zake ni zile za mshahara wake muache kupotosha watu kwa makusudi.

Kama zimekopwa basi zitalipwa kwa kodi za watanzania na kama zimetolewa kama zawadi basi zimetolewa kwa jina la JMT.
Porojo zako hazieleweki, Rais ni taasisi fahamu hili
 
Hakuna usmart hapo taratibu za manunuzi ni za kisheria na hana Mamlaka ya kumtoa hapo kaongea tu hakuna mtendaji watakeyeandika barua kumsimamisha huyo mtumishi, wanasiasa wanapenda kuhemka tuu wakiona kamera
Endelea kujifariji tu mkuu ila ndio hivyo tunataka shule watoto wetu waende shule,
 
Mkuu laid down procedures za uendeshaji nchi ni pamoja na kugawa kazi kwa haki, na kulipa kwa haki, n bado kusudi lililo tazamiwa litekelezwe.
Hapo ni project planning na execution.
Soyo kwenda tu kununua sementi kwa Mangi.
Tatizo muda mkuu wangu, Tunataka madarasa sio procedures
 
Hata kama ni dharura ni lazima watu wa procurements wafuate procurement procedures, hivi muende tuu kununua simenti, mabati, nondo etc kama unajenga nyumba yako si mtapigwa au hamuwajui vizuri maafisa manunuzi? Mfano kama hamjakubaliana kupata quotations ili muamue mtanunua kwa bei ipi si mtu ataenda kununua kwenye bei nafuu halafu makaratasi akaongeza cha juu?
Urasimu unaufahamu mkuu?
 
Huu pia ni ujinga, yaani jengo kama linatakiwa lijengwe miezi miwili nyie mtalazimisha eti kwa sababu ya deadline ya shule? Kama issue ni deadline ya kufungua shule je hilo mlikuwa hamlijui?
Hoja imezeeka sana hii hana mkongojo haiwezi kushika
 
Aseme ss walipakodi tumetoa pesa sio mtu mwingine na hakikishe taratibu zinafuaatwa ktk matumizi ya hz kodi zetu cku CAG akikagua na akabaini upotevu wa kodi zetu tutazidai sana kama tunavyodai katiba mpya na tume huru ya uchaguz
Hizi taratibu ni zipi? Hebu taja mbili
 
Pesa zimetolewa na JMT,
Sio mfukoni kwa rais muache hiyo tabia.
Ye kaidhinisha tu.
 
Ndugu yangu vita hiyo huiwezi kwani ni ya kiakili na sio mabavu.....hiyo kauli ndg ni 'figurative' tu hivyo ina maana tofauti na maana yako ya kimabavu. Relax tu ndg kwani haifutiki leo wakati wa samia (anayekufanya uichukie hiyo kauli) wala kesho wakati wa raisi mwingine..... utajiumiza bure na mwishowe kuambulia magonjwa tu kwani miaka minne au tisa ya samia ni mingi mno kwa mtu kuishi akiwa amefura (amekasirika).
😍😍Ushauri wa kitoto
 
Zito punguza nye ge...
Huyo afisa kaambiwa akae pembeni kwa uzembee...

Atawekwa mwingine.

Ila sijamuelewa kwanini mkurugenzi abaki salama.

Mizengwe ipo kwa wakurugenzi.

Anyway hizi pesa zitachomoka na wengi.
😍😍
 
Back
Top Bottom