Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

Zito punguza nye ge...
Huyo afisa kaambiwa akae pembeni kwa uzembee...

Atawekwa mwingine.

Ila sijamuelewa kwanini mkurugenzi abaki salama.

Mizengwe ipo kwa wakurugenzi.

Anyway hizi pesa zitachomoka na wengi.
Watachomoka wasiyo na Godfather tu mbona kina DAB hawakuchomoka?
 
Fedha za umma RAIS hana fedha, huyu mama samia amezungukwa na wapambe kila kona kazi ya DSO hapo nini, kanichefua sana huyu mwanamke asiye na busara kwa maana hiyo akitaka fedha apelekewe tu..
 
Wewe akili zako ni za kubumba mno.

Hapo nimeongelea taasisi na siyo mtu personal uwe unatumia angalau robo ya akili zako badala ya kurohoja tu kama mpiga zumari.
Pamoja kiongozi, itakuwa nilikuwa sijaelewa!
 
Umeshaambiwa fedha za zarura unataka ufanye kwa utaratibu
Io pesa itoke watu wafanye kazi
 
Fedha inatakiwa kutumika ndani ya Miezi 9 unataka utaratibu wa nn akati kuna single account inafanya kazi
Fedha za umma RAIS hana fedha, huyu mama samia amezungukwa na wapambe kila kona kazi ya DSO hapo nini, kanichefua sana huyu mwanamke asiye na busara kwa maana hiyo akitaka fedha apelekewe tu..
 
Haya mambo mbona kama tulishaanza kuyasahau!!!
 
Huyu Dada yuko smart sana kichwani

hapa naona Rais Samia amelamba

penyewe Shinyanga itasogea sana
Hana u smart wowote afisa manunuzi Yuko sahihi. We unadhani PPRA na CAG wakienda kufanya ukaguzi wa jinsi hela ilivyotumika utawaambia mataputapu hayo ya tulikuwa tunakimbiana na muda? Pamoja na uhitaji wa madarasa uliopo lakini lazima zoezi liendeshwe within the limits of the law sio standing orders za RC. Kutokufuata Sheria ndo kulituletea matatizo makubwa chini ya Magufuli.
 
Huyu Dada yuko smart sana kichwani

hapa naona Rais Samia amelamba

penyewe Shinyanga itasogea sana
Kuna shida kubwa sana na watanzaia wa kizazi hiki mtu smart hawezi kuongea hivi.pia Shughuli za serikali huwa haziendeshwi kama mali ya mtu binafsi, zinautaratibu wake.
 
Wewe akili zako ni za kubumba mno.

Hapo nimeongelea taasisi na siyo mtu personal uwe unatumia angalau robo ya akili zako badala ya kurohoja tu kama mpiga zumari.
Kama anazo lakini!!
 
Hakuna usmart hapo taratibu za manunuzi ni za kisheria na hana Mamlaka ya kumtoa hapo kaongea tu hakuna mtendaji watakeyeandika barua kumsimamisha huyo mtumishi, wanasiasa wanapenda kuhemka tuu wakiona kamera
Amedemka huyo kama alishindwa kuiongoza Ilala atawezaje huko?
 
Hata kama ni dharura ni lazima watu wa procurements wafuate procurement procedures, hivi muende tuu kununua simenti, mabati, nondo etc kama unajenga nyumba yako si mtapigwa au hamuwajui vizuri maafisa manunuzi? Mfano kama hamjakubaliana kupata quotations ili muamue mtanunua kwa bei ipi si mtu ataenda kununua kwenye bei nafuu halafu makaratasi akaongeza cha juu?
Huyo rc ndiye analazimisha vichochoro vya kupiga mpunga
 
Ni fedha za Rais Samia au ni mkopo kwa watanzania ambao sote tutaulipa baadae!
Mkuu hata namimi nawashangaa sana hawa watu sijui wamepatwa na mashetani gani kichwani mwao
 
Huu pia ni ujinga, yaani jengo kama linatakiwa lijengwe miezi miwili nyie mtalazimisha eti kwa sababu ya deadline ya shule? Kama issue ni deadline ya kufungua shule je hilo mlikuwa hamlijui?
Wanawafurahisha washitiri
 
Aseme ss walipakodi tumetoa pesa sio mtu mwingine na hakikishe taratibu zinafuaatwa ktk matumizi ya hz kodi zetu cku CAG akikagua na akabaini upotevu wa kodi zetu tutazidai sana kama tunavyodai katiba mpya na tume huru ya uchaguz
Wasije kutupiga kama ile 1.5trillion
 
Back
Top Bottom