Bilioni 14 kuhamisha Gereza la Kilimo Mbeya kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium

Bilioni 14 kuhamisha Gereza la Kilimo Mbeya kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium

Hahahahah another day another way ya kuchakaza rasilimali za taifa. NYERERE huko uliko naomba tuma mzimu wako uje kuangamiza washenzi wote watakaoshiriki kuvunja hili gereza kwa tamaa zao za kufilisi urithi wa Taifa letu uliotuachia watoto wako.
 
Tunapata raha sana kuandika au kusikia sifa kama hizi: "On truch to be Africa's First Niobium Mine".

Tunapojipiga vivifua vyetu kwa majigambo, utadhani tumemaliza msokoto wa bangi!

Kumbe tunachoambulia si lolote wala chochote cha maana sana.
Tutaishia kupata mrabaha ya asilimia fulani baada ya kutoa gharama ya uendeshaji! Ile asilimia 16 na ubia kwenye mapato sidhani kama inazungumziwa tena

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Wanaanza lini uchimbaji tukaombe. Ajira.?
na pale magogoni kuna madini pia yamegunduliwa tunataka kuhamisha jumba jeupe
 
Nyerere alisema tuache tusichimbe madini, kumbe Tanzanite inachimbwa kuuzwa Kenya na India Tanzania imekalia maneno tu
 
Ipo siku nchi itapigwa mnada.

Nyerere alikua na akili mno.

Maeneo nyeti aliweka vitu kama hivi juu yake yalikuwa maneno sasa naanza kuamini.
 
Uungwana utumike ktk mapato ya madini hayo na kumwondolea mzigo wa tozo raia
Nalog off Z
 
Madini hayo Bora yasichimbwe ,mpaka ccm itoke madarakani, maana hakuna faida yoyote wananchi tunapata kwenye madini, gesi, utalii, etc
Tunaambulia tozo, tozo tozo.
Hapo macho yao yote usikute yapo kwenye 10% tu. Maslahi ya Taifa huwa hawayafikirii kabisa.
 
Back
Top Bottom