Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Tanzania imebarikiwa kila mahali,JPM anazo resources za kutosha kuhakikisha kila anachokusudia kinafanyika.
hii Niobium bei yake ni nzuri sana katika soko la dunia na inapatikana Brazili na Canada tu.
kilo moja ya Niobium (FeNb) inauzwa $40
hizo tani millioni 96.3 tulizopata zina average grade of 0.52% Nb2O5. kwa hiyo ni kama tani million 0.5 za pure Nb2O5 ni sawa na kilo billion 0.5 kwa hiyo thamani ya madini hayo huko Mbeya ni sawa na $20bn!
Utashangaa kwenye mkataba utakaowekwa saini, serikali inapata 3% pamoja na tax holiday juu.