Bilioni 14 kuhamisha Gereza la Kilimo Mbeya kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium

Bilioni 14 kuhamisha Gereza la Kilimo Mbeya kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium

Gereza la kilimo la songwe lililoko mjini Mbeya litahamishwa ili kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium yaliyopo eneo hilo.

Taarifa hiyo ilitolewa mjini hapa jana na mwakilishi wa kampuni ya panda hill, inayotarajia kuchimba madini hayo Bw. Emmanuel Kisasi.

Kisasi alisema kwamba watahamisha pia nyumba za wafanyakazi wa gereza hilo, alitoa kauli hiyo jana wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.

Kwa kuwa eneo lilipo gereza hilo kuna madini kampuni yetu ya Panda Hill imetenga shilingi bilioni 400 kwa ajili ya kuhamisha gereza hilo,ikiwa na pamoja na nyumba za wafanyakazi kwa umbali wa kilometa tano.

Sambamba na hilo zaidi ya wananchi 467 waliopo maeneo ya mgodi wanatarajia kunufaika kwa kupata ajira mara tu uchimbaji utakapoanza mwaka 2017

Madini hayo tunatarajia kuyachimba yatatumika kutengeneza vitu chuma, kulainisha chuma na kuwa imara zaidi pia yatatumika kwenye ujenzi wa nyumba.

Pia yatatumika vifaa vya ndege, mabomba ya mafuta, mabomba ya gesi lensi za kamera pamoja na vifaa vya kompyuta, kwahivyo tafiti tumegundua tani milioni 96.3 za madini hayo yatachimbwa kwa zaidi ya miaka 30 alisema Kisasi.

Chanzo : Mtanzania
Hili gazeti jipu
 
eti mradi una manufaa kamkubwa san kama ajira zaidi ya 400 na huduma za kijamii hivi kweli tuna viongozi wanaofikiri sawasawa
huo ji mgodi wa 4 duniani na hakuna mwingine tenankwa sasa. ningekuwa mm ningewaambia wahamishe kiwada cha kutengeneza hayo mabomba na rocket
 
Kaabah anasema una manufaa kwa Tanzania,nadhan ni hizo ajira 400 ndo zinampa ushawishi
 
Chonde chonde chama tawala jamani
Hizi keki za taifa ziendane na Ari ya wanainchi
Ziwa Victoria liliuzwa kwa miaka 99, waulize wanaoishi maeneo yale wananufaika vipi? kama si kuachwa wajifie
 
Mkuu kuuliza ivyo nataka kujua kwasababu kuna baadhi ya watu wametuingiza kwenye mikataba ovyo uko nyuma na isije ikatokea kwenye huu mgodi na kuna mchangiaji kasema haya madini adimu sana yapo brazil na canada

mkataba mkataba mkataba naona huyo mzungu anasema eti tusaini haraka ili aanze kazi,no haraka ya nini?safari hii nasisi tupewe hata mwezi tuipitie na sisi na ipelekwe bungeni.naiandikwenye magazeti kama bajeti vile.
 
Njaa ya tumbo mbaya unashindwa hata kuhoji vitu vya msinga kitu umeambiwa upinge jamvo lolote mitandaoni ili ulipwe hiyo buku 7
Na wewe unalipwa nini ufipa..!?
 
eti mradi una manufaa kamkubwa san kama ajira zaidi ya 400 na huduma za kijamii hivi kweli tuna viongozi wanaofikiri sawasawa
huo ji mgodi wa 4 duniani na hakuna mwingine tenankwa sasa. ningekuwa mm ningewaambia wahamishe kiwada cha kutengeneza hayo mabomba na rocket[/QUOTEyes mkuu wasibebe chochote wachakate hapahapa na product itumike hapa wajenge viwanda vya final product hapa kama wanaweza kuhamisha watu kuleta mitambo ya uchimbaji wanashindwaje kujenga viwanda vya final product hapa.tusifanye vitu kwa mazoea hawawezi waondoke tubaki na mali zetu.
 
mkataba mkataba mkataba naona huyo mzungu anasema eti tusaini haraka ili aanze kazi,no haraka ya nini?safari hii nasisi tupewe hata mwezi tuipitie na sisi na ipelekwe bungeni.naiandikwenye magazeti kama bajeti vile.
Mkuu mkataba ukienda bungeni utskutana na mzee nyoka wa makengeza msaka noti mpiga dili
 
Nchi hii tatizo wala sio ccm tatizo ni IQ ndogo, kwa mfano kila mwananchi/mwanasiasa utasukia anasema nchi hii ni tajiri sana huku akiorothesha utajiri tulionao, hakuna anayesema atatumia strategy gani kumaximize returns kutoka kwenye huo utajiri ghafi. PPP strategy kwenye natural resources ingesaidia sana, badala ya tax strategy ambayo multinationals walishajenga mikakati ya kuikwepa from day one.
 
Back
Top Bottom