Tutaishia kupata mrabaha ya asilimia fulani baada ya kutoa gharama ya uendeshaji! Ile asilimia 16 na ubia kwenye mapato sidhani kama inazungumziwa tenaTunapata raha sana kuandika au kusikia sifa kama hizi: "On truch to be Africa's First Niobium Mine".
Tunapojipiga vivifua vyetu kwa majigambo, utadhani tumemaliza msokoto wa bangi!
Kumbe tunachoambulia si lolote wala chochote cha maana sana.
hivi wale waliojenga gereza hapo walikua hawajui kama kuna madini
inafikirisha
Hapo macho yao yote usikute yapo kwenye 10% tu. Maslahi ya Taifa huwa hawayafikirii kabisa.Madini hayo Bora yasichimbwe ,mpaka ccm itoke madarakani, maana hakuna faida yoyote wananchi tunapata kwenye madini, gesi, utalii, etc
Tunaambulia tozo, tozo tozo.