Bilioni 2 ni nyingi ila ndogo kwa Simba, Next time mfanye 5 kwenda mbele

VB kajua kucheza na akili za mchezo na atapiga faida sana tu

Tatizo liko wapi akipiga faida? Unaweza kufanya biashara isiyo na faida?
Ila mashabiki wa utopolo mna mambo ya ajabu sana, kama huo mkataba na kiasi ambacho simba ingepata kisingewekwa hadharani mngeanzisha blah blah zenu! Sasa kwa kuwa imewekwa hadharani mnaanzisha blah nyingine zisizo na kichwa wala miguu! Yaani sijui ni kitu gani kinawauma...!
Hivi mlivyoingia mkataba na gsm wa kutengeza jezi, walitaja thamani ya huo mkataba? Unajua uto yenu imepata kiasi gani hadi hivi sasa...?

Ila kwa hili lililofanyika najua utopolo mtaiga tu, lakini hakuna atakayefikia hilo dau lililowekwa na VB.
 
Kuna watu hawaoni hilo. Jamaa anafanya biashara yenye risk sana.
simba wanajiona na zile social media bots zao wanaweza kuuza jezi laki 5 kwa mwaka! kweli mbumbumbu fc!
 
Asante, umedadavua hoja kitaalamu sana.
Wajue huu ni mwanzo tu wa hii biashara.
 
Tuweke sawa maoni yako yana nia njema lakini breakdown yako haiko sahihi umesema atauza alfu 10 kweli lakini alfu 10 sio yote faida kuna operation cost sasa hatujui faida ngapi na pili VB haku negotiate ilikuwa ni tender na kashinda sasa tender inakuwa na vitu viwili commercial na tech yeye ka bid high na tech uwezo wa kuzifikisha kila mkoa anao. biashara ni faida na kwa kuwa kitu kinajiuza kwa thamani kama VB akiona faida kubwa ata bid juu ila shida ni kuwa hakuna kampuni ya nje itakuwa kuweka dau kubwa labda watokee ushindani wa ndani sababu Simba ni Tanzania tu soko la ndani tu sio kama team za wenzetu ulaya soko lao ni dunia nzima na jezi zenyewe bei ya kawaida laki 2 huku bado tuko alfu 10 jezi hii ndio tofauti.
 
Kutoka kwenye kulipwa milioni 100 hadi billion 2 ni kupigwa?
 
Kuna watu hawaoni hilo. Jamaa anafanya biashara yenye risk sana.
Hela yake kurudi, ni hakika itarudi na ndio maana akaamua kuweka miaka miwili (Going-concern) ya kueleweka na sio mwaka mmoja kama wengine wanavyotaka.Kuhusu faida atapata hata kama haitakuwa mabillion kama watu wanavyosema,ila faida atapata.

Yani kama angeweka mwaka mmoja, asingeirudisha kabisa [emoji23].
 
Naamini hivyo.

In fact nafikiri hiki kimuhe muhe cha kuiona timu inaperform kimesaidia hii deal kutokea.
Bado tu hamtaki kukubali kuwa matokeo kazuri ya simba ndani na kimataifa, yanatokana na uwekezaji mkubwa wa pesa. Yani mnachokiamini nyinyi ni kimuhe muhe sio[emoji28].
 
Hiyo biashara ina pande mbili aidha imtoe au imfilisi.....kama yy ndio kaweka fedha yake...
labda kama Moo yupo nyuma yake
Kitakachompa wepesi kwenye biashara hii, ni kwamba anauzoefu mkubwa nayo, ana maduka makubwa tu kwenye mikoa mkubwa karibia yote. Yani kiufupi, sioni jamaa akifeli kwenye huu mchongo.
 
Suala la mkataba wa bilioni mbili pia umeangalia Hali ya sasa ya covid-19, business is not good . Hongera Simba na mafanikio yenu NATAMANI HATA sisi Yanga tufike huko
 
Umepiga hesabu zako kama zile za kilimo cha matikiti kilichokuwa kinafanywa fb
Kuuza jezi ni biashara ngumu sana , kuna fake nyingi sana mitaani,

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hesabu zako ni feki.
TZS 10,000 x Jezi 200,000 kweli utapata TZS 2 Billion, lakini swali ni kwamba hizi 2Billion Zote zitakua ni faida?

Ina maana Jezi atakua ameokota au amepewa bure? Kuna gharama za utengenezaji hapa.

Vipi gharama za usambazaji?

Vipi gharama za pango atakakokua akiuzia hizi Jezi?

Vipi gharama za Muuzaji alieajiriwawa kuuza hizi Jezi?
 
Karibuni Jersey Original Kutoka VB [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…