Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Hongera sana Simba na Vunja bei kwa makubaliano ya kihistoria mlioingia hii leo, kiukweli Simba imepiga hatua ukilinganisha na ilipokuwepo.
Twende kwenye facts sasa.
Uwekezaji uliofanyika ni wa shilingi za kitanzania Bilioni mbili (2) kwa miaka miwili.
Kimahesabu, Kama Investor ( Vunja bei) atauza pisi moja ya jezi kwa shilingi za kitanzia elfu kumi tu, atahitajika kuuza pisi laki mbili ili arudishe mtaji wake kwa muda wa mwaka mmoja.
Kwa ukubwa wa Simba hii ambayo ina uwezo wa kujaza uwanja wa Ben mkapa (zaidi ya watu elfu 50), ukijumlisha mashabiki wengi sana wa mikoani, na nje ya Tanzania, kimahesabu kama Simba itauza jezi chache kwa mwaka mmoja (1) zitakuwa si chink ya pisi laki tano ambazo kimsingi zitarudisha mtaji na faida ya Investor.
Hapo hujahesabia kuwa Simba imeshakuwa timu ya kimataifa hivyo yeyote anayesambaza jezi zake anapata access na soko la afrika yote ambapo simba inaenda kushiriki mashindano tofauti tofauti.
Nimesikia kwenye press kuwa sio jezi tuu, Investor atauza na vitu vingine, that means amepewa uwanja mpana wa kuingiza faida kwa shilingi bilioni mbili ile ile aliyowekeza kwa miaka miwili.
Nafahamu fika hakuna mtu anayetaka kuweka hela kwenye hasara hivyo nawapongeza Vunja bei kwa kuchagua brand itakayowaletea faida, pia nitakuwa mchoyo wa fadhila nikiacha kuwasifu Vunja bei kwa uwezo wao mkubwa wa kunegotiate.
Next time Simba isijidogeshe kwenye negotiations, bilioni mbili ni hela nyingi sana lakini ni hela ndogo kwa brand kubwa kama Simba bila kusahau kipindi cha uwekezaji ni cha muda mrefu wa miaka miwili
Ni mtizamo tuu.