Bilioni 423 zatekeleza miradi ya maendeleo Singida miaka miwili ya Rais Samia

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Katika kipindi cha miaka miwili serikali imeupatia Mkoa wa Singida Sh. bilioni 437.683 sawa na ongezeko la asilimia 252.8 ya Sh. bilioni 124 zilizotolewa mwaka 2019/2020 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, alisema hayo jana wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya serikali kuanzia Machi 2021 had Juni 2023 wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo

Mkutano huo ulihusu utoaii elimu ya makubaliano ya Serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uendeshaji wa bandari uliowashirikisha wananchi kutoka mikoa ya Singida, Dodoma na Tabora.

Alisema katika kipindi hicho utekelezaii wa miradi ya umeme zilitolewa Sh.bilioni 109.6 ambazo zimewezesha vijiji 341 kati 441 sawa na asilimia 77.32 vimeunganishwa huduma ya umeme katika gridi ya taifa hadi kufikia Machi 2021.

Serukamba alisema katika wateja wapya 19,223 waliounganishiwa umeme ni pamoja na shule 287, visima vya maji 23, viwanda vidogo 76, migodi ya madini ya dhahabu 5, misikiti 43, makanisa 60, mahakama 2 na vituo vya kibiashara 102.

Kuhusu mpango wa TASAF, alisema hadi kufikia Juni 2023 utekelezaji umefika kwenye vijiji vote 441 vya Mkoa wa Singida na mitaa 53 ambapo walengwa wamepokea ruzuku ya masharti na ajira za muda Sh. bilioni 14.317 zilizotolewa na serikali.

Serukamba alisema katika sekta ya afya kwa kipindi hicho zimetolewa Sh.bilioni 47.272, elimu Sh. bilioni 56.223, sekta ya uzalishaji serikali imetoa Sh.bilioni 44.386, maji Sh.bilioni 14.635.

Aliongeza kuwa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), imesaidia ongezeko la upa-tikanaji wa maji kutoka asilimia. 57.9 mwaka 2020/2021 na kufikia asilimia 67.7 Juni 2023 sawa na wakazi 1,109,220 waishio vijijini.

Alisema Wakala wa Barbara Tanzania (TANROAD) Mkoa wa Singida uliopewa Sh.bilioni 52.033 ambazo zimeweza kutumika katika ujenzi wa barabara mbalimbali zenye urefu wa kilometa 1,718.31 zinazohudumiwa na wakala huyo.
 
Je Singida mna maji masafi na ya kutosha? Mna masoko mazuri na miundombinu ya barabara mizuri? Mipango mji iko vp? Umeme, vituo vya afya? Au hela hizo wanekula wanasiasa tu?
 
Wakala wa Barbara Tanzania (TANROAD) Mkoa wa Singida , pamoja na kupewa mabilioni unayoyasema na hatuna uhakika nayo, ulishindwa nini kutengeneza kwa kiwango cha lami barabara kuu ya kutokea Manyoni -Itigi kwenda hadi Rungwa kms 233 ,Ili kuunganisha mkoa wa Singida na Mkoa wa Mbeya kupitia Chunya????

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya serikali kuanzia Machi 2021 had Juni 2023 wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo “ TULIKUFICHIA SIRI” usiposimamia ujenzi wa kiwango cha lami barabara hiyo trust me, unaukosa ukuu wa mkoa.
 
Katika kipindi cha miaka miwili serikali imeupatia Mkoa wa Singida Sh. bilioni 437.683 sawa na ongezeko la asilimia 252.8 ya Sh. bilioni 124 zilizotolewa mwaka 2019/2020 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, alisema hayo jana wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya serikali kuanzia Machi 2021 had Juni 2023 wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo

Mkutano huo ulihusu utoaii elimu ya makubaliano ya Serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uendeshaji wa bandari uliowashirikisha wananchi kutoka mikoa ya Singida, Dodoma na Tabora.

Alisema katika kipindi hicho utekelezaii wa miradi ya umeme zilitolewa Sh.bilioni 109.6 ambazo zimewezesha vijiji 341 kati 441 sawa na asilimia 77.32 vimeunganishwa huduma ya umeme katika gridi ya taifa hadi kufikia Machi 2021.

Serukamba alisema katika wateja wapya 19,223 waliounganishiwa umeme ni pamoja na shule 287, visima vya maji 23, viwanda vidogo 76, migodi ya madini ya dhahabu 5, misikiti 43, makanisa 60, mahakama 2 na vituo vya kibiashara 102.

Kuhusu mpango wa TASAF, alisema hadi kufikia Juni 2023 utekelezaji umefika kwenye vijiji vote 441 vya Mkoa wa Singida na mitaa 53 ambapo walengwa wamepokea ruzuku ya masharti na ajira za muda Sh. bilioni 14.317 zilizotolewa na serikali.

Serukamba alisema katika sekta ya afya kwa kipindi hicho zimetolewa Sh.bilioni 47.272, elimu Sh. bilioni 56.223, sekta ya uzalishaji serikali imetoa Sh.bilioni 44.386, maji Sh.bilioni 14.635.

Aliongeza kuwa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), imesaidia ongezeko la upa-tikanaji wa maji kutoka asilimia. 57.9 mwaka 2020/2021 na kufikia asilimia 67.7 Juni 2023 sawa na wakazi 1,109,220 waishio vijijini.

Alisema Wakala wa Barbara Tanzania (TANROAD) Mkoa wa Singida uliopewa Sh.bilioni 52.033 ambazo zimeweza kutumika katika ujenzi wa barabara mbalimbali zenye urefu wa kilometa 1,718.31 zinazohudumiwa na wakala huyo.
Bora zingetumika kuwapeleka akina Mruma na wenzake vyuo vikuu vya nje wakajiendeleze.
 
This is nothing ukilinganisha na utajiri wa Tanzania.Tulipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo hamuwadanganyi tena Watanzania,you must go.CCM na serikali yake out.
 
Back
Top Bottom