peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwa wizi huu hata yeye ni wakutumbuliwaView attachment 2947987
View attachment 2948010
Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu??
Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.