Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Hao ndio kina Mwabukusi wenyewe, vichekesho vitupu.Iga ndio inaleta makontena bandarini? 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio kina Mwabukusi wenyewe, vichekesho vitupu.Iga ndio inaleta makontena bandarini? 😂😂
Sawa tuuKulingana na mtoa hiyo post ; hoja ni kwamba endelea kudhulumu na kuteka watu .
Akili huna wewe usiyejua kitu gani kinafanyika bandarini, unaishia kuandika mapovu humu jukwaani.Wewe ni msukule wa Samia, sikulaumu ulishaibiwa akili siku nyingi.
Hakika mkuu . Ni kituko layman kumfundisha sheria mwanasheria .Maajabu ya layman kumfundisha sheria mwanasheria!.
Wewe ni layman kwasababu hata ile IGA hukuwahi kuiona, kama ungeiona kwa kuisoma na kuielewa usingeandika hizi pumba zako hapa.
Kesi alishindwa vipi ikiwa jaji aliamuru bunge likafanyie marekebisho ile sheria aliyolalamikia Adv. Mwabukusi?!Huyo Mwabukusi ni layman namba moja, alishindwa kesi kule Mbeya tena mchana kweupe.
Ni aibu kwa huyo mwanasheria aliyepinga DPW mahakamani kushindwa kesi yake huko Mbeya. Mwabukusi kakuta nchi yetu kwa sasa mamburula ni wengi na anaonekana ni nyota fulani kwa sababu hiyo.Uko sahihi mkuu . Ni kituko layman kumfundisha sheria mwanasheria .
Wewe kiazi uwepo wako ni hasara kwa hili taifa, afadhali ya kuku atachinjwa aliwe nyama au atage mayai, wewe unatumalizia O2 ya bure tu msukule.Akili huna wewe usiyejua kitu gani kinafanyika bandarini, unaishia kuandika mapovu humu jukwaani.
Huna moral-authority ya kumpinga Mwabukusi . Nchi ni ya wananchi ; ni kwamba tuna bahati mbaya kama nchi viongozi hawasikilizi wananchi . Tena wananchi wanampigia kura kiongozi fulani , halafu wanadhulumiwa ( injustice) kwa kupewa kiongozi mwingine ambaye hawajamchagua . Huu ni udhalimu wa hali ya juu .Ni aibu kwa huyo mwanasheria aliyepinga DPW mahakamani kushindwa kesi yake huko Mbeya. Mwabukusi kakuta nchi yetu kwa sasa mamburula ni wengi na anaonekana ni nyota fulani kwa sababu hiyo.
Wewe msukule Adv. Mwabukusi sasa ndie Rais wa TLS, kwa miaka mitatu ijayo.Mwabukusi kondakta wa zamani huko Arusha hana chochote kwenye fani ya sheria. Alikutana na Hamza Johari msomi wa zamani wa Kiev University aliyemaliza shule na shahada za kiwango cha juu.
Kuandika mapovu ndio ujanja wenu unapoishia pale mnapokosa lenye maana la kuandika.Wewe kiazi uwepo wako ni hasara kwa hili taifa, afadhali ya kuku atachinjwa aliwe nyama au atage mayai, wewe unatumalizia O2 ya bure tu msukule.
Hana kitu huyo Mwabukusi aliwaongopea wajinga wengi hapa bongo mahakama ikaja kumuumbua akashindwa kesi , leo hii hao DPW wanaleta mapinduzi ya uendeshaji hapo TPA na ni aibu kwa wajuaji wote wa sheria wa Tanzania.Huna moral-authority ya kumpinga Mwabukusi .
Eti Adv. Mwabukusi alishindwa kesi Mbeya, hauna akili wewe.Kuandika mapovu ndio ujanja wenu unapoishia pale mnapokosa lenye maana la kuandika.
Kitima ana kadi ya CHADEMA mfukoni na magwanda ya kaki. Ni suala la muda huyu binamu wa Tundu Lissu atavua mavazi ya altareZile kelele za Padre Kitima za kusambaza waraka makanisani sasa hivi zipo kimyaaa,, ubaya huwa haudumu na mwisho wake ni aibu kwa kutumia ile hekima ya wahenga.
Huko TLS wamejaa wajinga wengi tu. Hawa wanasheria vijana wa mwendokasi na smartphone.Wewe msukule Adv. Mwabukusi sasa ndie Rais wa TLS, kwa miaka mitatu ijayo.
Alikuwa mwenyekiti wa kampeni za CHADEMA mwaka 2020, huwa anaongea kinafiki lakini maneno yake hayatoki moyoni.Kitima ana kadi ya CHADEMA mfukoni na magwanda ya kaki. Ni suala la muda huyu binamu wa Tundu Lissu atavua mavazi ya altare
Wamasai hawana Chifu wana Laigwanani.
Akili huna wewe usiyefuatilia habari za maana. Kesi ya kupinga DPW asipewe uendeshaji kule Mbeya, Mwabukusi na wenzake waliangukia pua ndio SSH akaamuru mchakato wa kumkabidhi hayo magati namna 8-11 uanze mara moja.Eti Adv. Mwabukusi alishindwa kesi Mbeya, hauna akili wewe.
Urais wa TLS ni wa mwaka mmoja na unaruhusiwa kugombea na kuwa kiongozi kwa vipindi viwili mfululizo tu.Wewe msukule Adv. Mwabukusi sasa ndie Rais wa TLS, kwa miaka mitatu ijayo.