eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Please be specific. Which kodi for that matter, the revenue are you talking about?Kodi ya siku zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Please be specific. Which kodi for that matter, the revenue are you talking about?Kodi ya siku zote
Akili huna wewe usiyefuatilia habari za maana. Kesi ya kupinga DPW asipewe uendeshaji kule Mbeya, Mwabukusi na wenzake waliangukia pua ndio SSH akaamuru mchakato wa kumkabidhi hayo magati namna 8-11 uanze mara moja.
My Take
Wale wa Samia ameuza Mali zao za Urithi mnaitwa kuja kumwaga povu jingine.
Kwa taarifa yenu sio tuu shehena ya mzigo imeongezeka Bali muda wa kusubiria meli umetoka siku 14 Hadi siku 3.
Hongera sana Rais Samia Kwa Mageuzi haya yenye Tija Kwa Nchi na kuleta ushindani mzuri wa Bandari ya Dar.
Pia soma hapa DP World kuokoa Sh1.6 trilioni hadi Desemba
View: https://youtu.be/o3wT4BwqifA?si=TXvSwhowSbEj_FlY
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya DP World katika bandari ya Dar es Salaam katika kipindi cha miezi mitatu umeonesha mafanikioa makubwa kwa shehena ya makasha kuongezeka kutoka 7,151 Aprili 2024 hadi kufikia 20,151 kufikia Julai 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).
Uwekezaji huo wenye thamani ya takriban dola milioni 250 (Sh bilioni 675) kwa ajili ya uendeshaji wa magati 0-7 bandarini hapo umeleta manufaa makubwa kwa ni ongezeko la shehena ya makasha hayo ni sawa na ongezeko la asilimia 182.
Hayo yamebainishwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja wa Shughuli na Uratibu wa TPA, Josephat Lukindo wakati akiwasilisha ripoti fupi ya utendaji wa bandari hiyo baada ya uwekezaji huo kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makala aliyefanya ziara yake badarini hapo.
Alisema pesa hizo imetumika kuboresha utendaji wa bandari hiyo katika maeneo matatu baada ya kukabidhiwa na mamlaka ya bandari Aprili 15, 2024.
“Kwa uzoefu tulionao katika uendeshaji wa bandari, tuliamua kuanza na uboreshaji wa maeneo matatu muhimu ili kuongeza ufanisi zaidi,” alisema Lukindo.
Amesema sehemu ya kwanza kabla ya kufanya kitu chochote kampuni ya DP World kupitia kampuni tanzu ya DP World Dar es Salaam iliyoanzishwa kusimamia bandari hiyo ilifanya manunuzi ya mitambo ya kisasa yenye thamani ya takriban bilioni 215.
Alisema pili ilifanya ukarabati wa mitambo mibovu iliyokuwa ikitumika bandarini hapo na kufanya manunuzi ya vifaa vipya yakiwemo matrekta ya kubebea mizigo 20 pamoja na matela 31, jenerela saba zenye ukubwa wa Kv 10,000 kila moja kwa ajili ya kuendeshea mitambo ikitokea umeme umekatika na vifaa vya kubebea mizigo mizito (cranes).
“Tatu, DP World ilifanya usimikaji wa mifumo ya kisasa ya TEHAMA kwa ajili ya uendeshaji wa bandari hiyo. Hapo awali, tulikuta mifumo ambayo imepitwa na wakati na kuamua kuweka mifumo ya kisasa kuendana na maendeleo ya teknolojia,” alisema.
Hivyo, alisema uwekezaji huo umeleta manufaa makubwa ndani ya kipindi cha miezi mitatu iliyochangia ongezeko la shehena ya makasha ikiwa sawa na ongezeko la asilimia 182.
Mwanahalisi
Kuwatoa ujinga mazuzu wa sampuli yenu.Faida ya uwepo wako ni ipi?
Nyie hata sijui mnaishi dunia gani?! Hiyo sheria ilishabadilishwa sasa hivi Rais wa TLS anahudumu kwa miaka mitatu mfululizo.Urais wa TLS ni wa mwaka mmoja na unaruhusiwa kugombea na kuwa kiongozi kwa vipindi viwili mfululizo tu.
Ukishinda mara mbili mfululizo unakaa pembeni.
Ni utoto kujibu kila post inayowekwa hapa kwa kutumia hiyo picha.
Zimemkuna wapi, makalioni?au, kichwani?My Take
Wale wa Samia ameuza Mali zao za Urithi mnaitwa kuja kumwaga povu jingine.
Kwa taarifa yenu sio tuu shehena ya mzigo imeongezeka Bali muda wa kusubiria meli umetoka siku 14 Hadi siku 3.
Hongera sana Rais Samia Kwa Mageuzi haya yenye Tija Kwa Nchi na kuleta ushindani mzuri wa Bandari ya Dar.
---
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya DP World katika bandari ya Dar es Salaam katika kipindi cha miezi mitatu umeonesha mafanikioa makubwa kwa shehena ya makasha kuongezeka kutoka 7,151 Aprili 2024 hadi kufikia 20,151 kufikia Julai 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).
Uwekezaji huo wenye thamani ya takriban dola milioni 250 (Sh bilioni 675) kwa ajili ya uendeshaji wa magati 0-7 bandarini hapo umeleta manufaa makubwa kwa ni ongezeko la shehena ya makasha hayo ni sawa na ongezeko la asilimia 182.
Hayo yamebainishwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja wa Shughuli na Uratibu wa TPA, Josephat Lukindo wakati akiwasilisha ripoti fupi ya utendaji wa bandari hiyo baada ya uwekezaji huo kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makala aliyefanya ziara yake badarini hapo.
Alisema pesa hizo imetumika kuboresha utendaji wa bandari hiyo katika maeneo matatu baada ya kukabidhiwa na mamlaka ya bandari Aprili 15, 2024.
“Kwa uzoefu tulionao katika uendeshaji wa bandari, tuliamua kuanza na uboreshaji wa maeneo matatu muhimu ili kuongeza ufanisi zaidi,” alisema Lukindo.
Amesema sehemu ya kwanza kabla ya kufanya kitu chochote kampuni ya DP World kupitia kampuni tanzu ya DP World Dar es Salaam iliyoanzishwa kusimamia bandari hiyo ilifanya manunuzi ya mitambo ya kisasa yenye thamani ya takriban bilioni 215.
Alisema pili ilifanya ukarabati wa mitambo mibovu iliyokuwa ikitumika bandarini hapo na kufanya manunuzi ya vifaa vipya yakiwemo matrekta ya kubebea mizigo 20 pamoja na matela 31, jenerela saba zenye ukubwa wa Kv 10,000 kila moja kwa ajili ya kuendeshea mitambo ikitokea umeme umekatika na vifaa vya kubebea mizigo mizito (cranes).
“Tatu, DP World ilifanya usimikaji wa mifumo ya kisasa ya TEHAMA kwa ajili ya uendeshaji wa bandari hiyo. Hapo awali, tulikuta mifumo ambayo imepitwa na wakati na kuamua kuweka mifumo ya kisasa kuendana na maendeleo ya teknolojia,” alisema.
Hivyo, alisema uwekezaji huo umeleta manufaa makubwa ndani ya kipindi cha miezi mitatu iliyochangia ongezeko la shehena ya makasha ikiwa sawa na ongezeko la asilimia 182.
Mwanahalisi
Kusema kwamba IGA ipo kinyume na sheria ya rasilimali ya 2017 ni kulishwa matango pori kwani bandari sio sehemu ya rasilimali, ni uvumi ulianza kipindi kile kile wakati DPW wanataka kupewa tender ya kuendesha bandari...DPW wangekuwa toka mwanzo na malengo ya kuendesha gati # 8 - 11 na mchakato ukawa wa wazi hakuna mtu angepiga kelele.
..tatizo lilikuwa ni IGA ambayo ilipitishwa na bunge na inakiuka sheria ya ulinzi wa rasilimali iliyopitishwa mwaka 2017.
..Na mimi nalazimika kuamini kwamba bila mayowe kupigwa DPW were coming for more than just gati # 8 - 11.
..Utakumbuka kwamba TICTS hakuhitaji IGA ili kuendesha gati za makontena bandarini. ADANI naye hakuhitaji IGA ili kukodishwa gati ktk bandari yetu.
..Sasa kama Ticts na Adani hawakuwa na IGA, kwanini mambo ni tofauti kwa DPW?
..Zaidi, waliopinga IGA wako wengi zaidi ya Adv.Mwabukusi. Wako wasomi wakubwa na wanaoaminika kama Prof.Issa Shivji. Maaskofu ktk umoja wao waliounga, na si kweli kwamba alikuwa Fr.Kitima peke yake. Shura ya Maimamu walisema IGA ina matatizo.
..Wakati mwingine nadhani Watanzania hatuna skills za kupambanisha hoja zinazohusu maslahi ya taifa letu. Tunajadili mambo mazito ya kisheria kana kwamba tunajadili Simba na Yanga. Vilevile hakuna uwazi hivyo kila unakuta watu wanabishania jambo la msingi bila kuwa na taarifa za kutosha.
IGA haina nguvu kubwa kama wanasheria wetu mamburula wanavyojaribu kuwadanganya watu mitandaoni.Paka rangi mwishowe mapaka yatakuwa Kila mahali.
Zaidi ya malalamiko yenye msingi wa miaka ya nyuma, hakuna cha maana ulichokiandika.danganyen wapumbavu nchii hii chn ya ccm hakuna ubnafsishaji na uuzwaji wa raslimali zetu umewahi kuleta faida hakuna kelele hz za machawa kama wewe na majiz jiz ya ccm hupgwa sn kwny uwekezaji at last zero tu tuambie hp ni uwekezaji gn umewahi kunufaisha taifa hli shrika la ndege lilikufa na ndge majiz wakazgawana haijulikan zliendaga wapi, madini zero, rail zero, gas ya mtwara zero, maji zero, umeme zero, mwendokasi zero, viwanda zero so hata hiyo bandari hakuna ktaleta manufaa zaid labda kwa maccm na maviongoz majiz jizi tu bt si kwa watz na taifa kwa ujumla.
My Take
Wale wa Samia ameuza Mali zao za Urithi mnaitwa kuja kumwaga povu jingine.
Kwa taarifa yenu sio tuu shehena ya mzigo imeongezeka Bali muda wa kusubiria meli umetoka siku 14 Hadi siku 3.
Hongera sana Rais Samia Kwa Mageuzi haya yenye Tija Kwa Nchi na kuleta ushindani mzuri wa Bandari ya Dar.
Pia soma hapa DP World kuokoa Sh1.6 trilioni hadi Desemba
View: https://youtu.be/o3wT4BwqifA?si=TXvSwhowSbEj_FlY
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya DP World katika bandari ya Dar es Salaam katika kipindi cha miezi mitatu umeonesha mafanikioa makubwa kwa shehena ya makasha kuongezeka kutoka 7,151 Aprili 2024 hadi kufikia 20,151 kufikia Julai 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).
Uwekezaji huo wenye thamani ya takriban dola milioni 250 (Sh bilioni 675) kwa ajili ya uendeshaji wa magati 0-7 bandarini hapo umeleta manufaa makubwa kwa ni ongezeko la shehena ya makasha hayo ni sawa na ongezeko la asilimia 182.
Hayo yamebainishwa jana jijini Dar es Salaam na Meneja wa Shughuli na Uratibu wa TPA, Josephat Lukindo wakati akiwasilisha ripoti fupi ya utendaji wa bandari hiyo baada ya uwekezaji huo kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makala aliyefanya ziara yake badarini hapo.
Alisema pesa hizo imetumika kuboresha utendaji wa bandari hiyo katika maeneo matatu baada ya kukabidhiwa na mamlaka ya bandari Aprili 15, 2024.
“Kwa uzoefu tulionao katika uendeshaji wa bandari, tuliamua kuanza na uboreshaji wa maeneo matatu muhimu ili kuongeza ufanisi zaidi,” alisema Lukindo.
Amesema sehemu ya kwanza kabla ya kufanya kitu chochote kampuni ya DP World kupitia kampuni tanzu ya DP World Dar es Salaam iliyoanzishwa kusimamia bandari hiyo ilifanya manunuzi ya mitambo ya kisasa yenye thamani ya takriban bilioni 215.
Alisema pili ilifanya ukarabati wa mitambo mibovu iliyokuwa ikitumika bandarini hapo na kufanya manunuzi ya vifaa vipya yakiwemo matrekta ya kubebea mizigo 20 pamoja na matela 31, jenerela saba zenye ukubwa wa Kv 10,000 kila moja kwa ajili ya kuendeshea mitambo ikitokea umeme umekatika na vifaa vya kubebea mizigo mizito (cranes).
“Tatu, DP World ilifanya usimikaji wa mifumo ya kisasa ya TEHAMA kwa ajili ya uendeshaji wa bandari hiyo. Hapo awali, tulikuta mifumo ambayo imepitwa na wakati na kuamua kuweka mifumo ya kisasa kuendana na maendeleo ya teknolojia,” alisema.
Hivyo, alisema uwekezaji huo umeleta manufaa makubwa ndani ya kipindi cha miezi mitatu iliyochangia ongezeko la shehena ya makasha ikiwa sawa na ongezeko la asilimia 182.
Mwanahalisi
Ukitaka kujua tuna jamii ya kijinga Adani ndiye mwenye kumiliki magati yenye faida kuliko DPW lakini sisi akili zetu kwenye IGA ya DPW kuliko kuangalia kipi anachokifanya Adani.Kodi,kwani ulitaka ipate nini? Tuna capitalize kwenye mafanikio ya DP World.
Wale wengine Adani Ports sijasikia chochote kuhusu wao Toka wamepewa gati za Bandari pia.

Kwa sababu anaunga mkono uwekezaji au?Huyu makala ni bogus sema ndio hivo ukishakuwa kwenye mfumo wa CCM
Kwani Bandari ipo Tanzania pekee? Mkiwa na Huduma zinazokaribiana Kwa ufanisi wateja wakakimbilia kwenye shorter distance na kwako inakuwa second optionInatia shaka malawi na zambia wasingekimbilia msumbiji!
RohoniZimemkuna wapi, makalioni?au, kichwani?
Kama wanajua kuwa bandari ni biashara ya mteja kuchagua apeleke wapi mzigo wake wasingekuja na akili za kuipinga DPW kiasi cha Maaskofu kuandika waraka wa kitu wasichokuwa na ufahamu nacho wa kutosha.Kwani Bandari ipo Tanzania pekee? Mkiwa na Huduma zinazokaribiana Kwa ufanisi wateja wakakimbilia kwenye shorter distance na kwako inakuwa second option