Bilioni 650 za DP World Zamkuna Makala. Zaongeza Ufanisi wa Bandari ya Dar kutoka Makasha 7,000 Hadi Makasha 20,000

Bilioni 650 za DP World Zamkuna Makala. Zaongeza Ufanisi wa Bandari ya Dar kutoka Makasha 7,000 Hadi Makasha 20,000

Yaani billion 600 na point zimeongeza ufanishi mara tatu zaidi wakati serikali yetu kabla ilishatumia zaidi ya trilion 2 kurekebisha hapo bandari na utendaji haukuongezeka kiivyoo..
Watanzania tumerogwaa *****..
Ilizitumia kwenye areas gani? Kujenga miundombinu tuu bila kuwekeza kwenye Huduma za Kisasa na vifaa vya Kisasa vya kufanya kazi Haina tofauti na kujenga Hospital bila dawa na vifaa tiba au wataalamu.
 
Hapakuwa na haja ya kutangaza zabuni kulingana na mazingira ya uwekezaji mzima ulivyo. DPW anafanya biashara nzima ya logistic kwa maana ya kuufuata mzigo unaotoka huko DRC kuja bandarini na kwenda huko nje.

Sio kila biashara inaanza kwa zabuni yake kuwekwa wazi, inategemea na nature ya biashara nzima ipo vipi.

Tanzania na DPW haziruhusu mkataba mzima kuanikwa hadharani sawa na ile biashara ya adani ya magati namba 8 mpaka 11.

..Mamlaka ya Bandari kutangaza zabuni ni takwa la KISHERIA.
 
Maajabu ya layman kumfundisha sheria mwanasheria!.

Wewe ni layman kwasababu hata ile IGA hukuwahi kuiona, kama ungeiona kwa kuisoma na kuielewa usingeandika hizi pumba zako hapa.
Wateseka Masikini!
Huna ht la kufanya.
 
Zabuni aliyopewa DPW ni tofauti na hizo unazoziongelea wewe, DPW anamiliki mali nyingi huko Rwanda na Burundi na pia ni mjuzi wa masuala ya bandari hivyo zabuni katika mazingira ya aina hiyo haitangazwi kimazoea tu.

..ameandika uongo.

..na sijui nia yako ni nini haswa.

..nafahamu wewe sio mjinga.

..kuna watu umewalenga uwadanganye.
 
Bandarini ni maji pekee yanayoweza kuwekwa kwenye kundi la rasilimali, huwezi ukaiweka mitambo na makasha yanayobeba bidhaa katika kundi la rasilimali.

Hivyo ni kosa kuiweka bandari katika rasilimali kwani ni sehemu ndogo tu yenye kujumuishwa kwenye kundi hilo.

Bandari ni kitegauchumi cha nchi, haiingii kwenye kundi la hiyo sheria ya 2017.

Zabuni iliyompa Adani tenda ya kuendesha magati namba 8-11 umewahi kuisikia?.

Hiyo IGA ya DPW ilivuja kimakosa tu.
Tatizo kubwa la jamii forums kwa sasa lipo kwenye watu kuandika vitu kwa confidence ikiwa hamfahamu chochote

Nani alikuambia zabuni ya kuendesha ghati nba 8-11 haikutangazwa? Ilitangazwa wazi kabisa

Kwa nn unaandika jambo kama hili bila kufahamu chochote?
 
Tatizo kubwa la jamii forums kwa sasa lipo kwenye watu kuandika vitu kwa confidence ikiwa hamfahamu chochote

Nani alikuambia zabuni ya kuendesha ghati nba 8-11 haikutangazwa? Ilitangazwa wazi kabisa

Kwa nn unaandika jambo kama hili bila kufahamu chochote?
Asante kwa kunisahihisha. Nilichukulia ni sawa na ile ya magati namba 3-7 aliyopewa DPW.
 
..unasema uongo.

..zabuni kwamba TPA wanakodisha gati # 8 - 11, pamoja na gati nyingine, ilipaswa kutangazwa ili makampuni mbalimbali yaweze kuomba na kushindanishwa.
Mnajadili haya mambo kihisia na wote hamjui hata mnachojadili. Nani nawaambia tender ya kuendesha ghati namba 8-11 haikutangazwa?
Nguvu ya kujadili msichokijua mnaitoa wapi?
 
Hii ya adani pia haijatangazwa na anafanya kazi muda huu pale TPA, sio kila zabuni inatangazwa.

..ndio nimekwambia SHERIA imekiukwa.

..kulipaswa kuwe na Zabuni, halafu makampuni yatie nia, na mshindi apatikane baada ya mchakato.

..sasa hivi tulivyofanya tuna uhakika gani kama Adani, au Dp, wametupa offer nzuri kuliko wote?
 
Back
Top Bottom