Bilioni 650 za DP World Zamkuna Makala. Zaongeza Ufanisi wa Bandari ya Dar kutoka Makasha 7,000 Hadi Makasha 20,000

Mkuu hii maghati 3-7 umetoa wapi?

Unaujua mkataba wa ghati 1-3 ulihusu nini?
Na mkataba 4-7 ulikua unahusu nini?
magati namba 0 mpaka namba 2 mmiliki ni TPA mwenye bandari yake

3-7 Kapewa DP World wabongo kwa uelewa wetu mdogo tukadhani kapewa bandari nzima,

magati 8-11 kapewa Adani,

Japo DPW kimkataba anasaidia pia baadhi ya shughuli za magati 0-2 yanayoendeshwa na TPA.
 
Unajua tatizo langu lipo kwenye kujadili kwa kuhisi
Ghati ni 4 na 7
Ushirikiano na TPA ni 0-3
 
Bila kujua dp world ana operate wapi sasa yote mtajadili si itakua ni hisia?
Hujui mchezaji anacheza namba gani, lakini unataka kumjaji? Si ndio itaanza kulalamika kwa nini bakari mwamnyeto hafungi magoli

..mjadala wetu ulijikita zaidi ktk namna Dpw walivyopewa kazi bandarini, na sio specifically wamekodishwa gati zipi.

..off course ingependeza kama tusingekosea ktk kueleza gati ambazo Dpw wamekodishwa.

..mimi nakubali kuomba radhi kwa makosa yaliyotokea.

..naomba mjadala uendelee.
 
Namna ya kupewa kazi huyo mtajadiliana nae kihisia tu, hatajua sababu labda kama mnapenda kujadili hisia
 
Unajua tatizo langu lipo kwenye kujadili kwa kuhisi
Ghati ni 4 na 7
Ushirikiano na TPA ni 0-3
Nilifanya kazi bandarini miaka ya 2004 mpaka 2007 kule Tanga, nikisafirisha mchanga wa dhahabu kwenda Japan Na China pia aliyeandaa mikataba hii kwa upande wa Tanzania ni rafiki yangu wa karibu, hivyo taarifa zangu zinaweza zisielekee kwenye ukweli kwa asilimia 100 ila nina uhakika zina ukweli kwa angalau asilimia 60. Sipo karibu na sekta kwa sasa.
 
Sawa lakini hili sio suala la hisia sababu kila kitu kipo kwa ground na kinaendelea na mikataba ishasainiwa

Ghati ni 0-7(0-3ni ushirikiano na TPA) na sio 0-2 Kama unavyosema
 
Zabuni iliyompa ushindi Arab Contractors ilitangazwa wapi?
Kuna vitu huwa vinasikitisha sana hasa vikiwa huku ambapo tunaamini ni kwa great thinkers

Nani alikuambia ujenzi wa bwawa la JNHPP tender haikutangazwa?

Wenzetu ni kama vile hamjui lolote linaloendelea lakini bado mnataka kujadili
 
Mbona mnahangaika sana bila sababu za msingi?

Nimesema DP World ameingia Kwa mtindo wa Serikali Kwa Serikali kusaini MoU na hivyo Kuna preferential treatments Kwa sababu za kimahusiano baina ya Nchi kama tuu Arab Contractors wa Bwawa la Nyerere.

Huyo mwingine Tanzania na India Hazina kubaliana rasmi so alitumia open tendering.

Mwisho Cha muhimu ni matokeo au mchakato?
We jamaa huwa unaandika vitu ukiwa hujui lolote

Nani kakuambia tender ya bwawa la nyerere haikutangazwa???
 
Kuna tenda ya kununua ,hii tumewapa waendeshe ,yaani Miaka yoote ya wasomi wa UDSM,MZUMBE NA vyuo vyengine hatuna wataalam wa kusimamia bandari.

Mtaji nchi tunao hatushindwi kuweka kiasi chochote cha fedha kama nchi.
 
Kuongea ni rahisi kuliko kutenda.
 
Back
Top Bottom