Bilioni 650 za DP World Zamkuna Makala. Zaongeza Ufanisi wa Bandari ya Dar kutoka Makasha 7,000 Hadi Makasha 20,000

Hayo maigzo ndo ulikuwa mchezo kpnd cha jiwe mara magawio mara shrika la ndege linapga faida mabilion sa unategemea ujinga uliofanywa wa kugawa bandari kuna chawa atasema huduma n mbovu thubutuu..
Nenda bandarini uone shughuli zinavyofanyika sio kudai ni maigizo wakati unapewa taarifa na watu walio karibu na kile kinachofanyika huko TPA.

Hapo kabla makontena 7000 yalikuwa yakihudumiwa hivi sasa makontena yanayohudumiwa ni 20000, unaposema kuwa bandari imeuzwa unajua unaongea kitu gani?.
 
We jamaa waliwekeza Bilion 500? Mbona Kama hiyo hata serikali ingeweka yenyewe
DP World signed a 30-year concession agreement last year with the state-run Tanzania Ports Authority (TPA) to operate and modernize part of the Dar es Salaam port.

The Dubai-based ports giant said it will invest up to $1 billion in the Dar es Salaam Port upgrade during the concession period, alongside hinterland logistics projects.

DP World will initially invest more than $250 million in the first phase of a multi-phase investment plan.

DP World has assumed a lease and operational role for four out of the 12 berths at Tanzania's largest port
 
Unavyoandika utadhani hata kupiga kura huwa unajitokeza kupiga!. Umaarufu wetu ndio huu wa kulialia kwenye nyuzi za Jamiiforum siku za uchaguzi hakuna anayejitokeza kwenda kupiga kura.

Elewa maana ya mgombea mwenza, kwamba lolote likimtokea Rais yule makamu wake anashikilia madaraka.

Kule USA Biden kazidiwa nguvu na maradhi na Kamala mara moja anachukua nafasi ya kuwa mgombea urais.
 
danganyen wapumbavu nchii hii chn ya ccm hakuna ubnafsishaji na uuzwaji wa raslimali zetu umewahi kuleta faida hakuna kelele hz za machawa kama wewe na majiz jiz ya ccm hupgwa sn kwny uwekezaji at last zero tu tuambie hp ni uwekezaji gn umewahi kunufaisha taifa hli shrika la ndege lilikufa na ndge majiz wakazgawana haijulikan zliendaga wapi, madini zero, rail zero, gas ya mtwara zero, maji zero, umeme zero, mwendokasi zero, viwanda zero so hata hiyo bandari hakuna ktaleta manufaa zaid labda kwa maccm na maviongoz majiz jizi tu bt si kwa watz na taifa kwa ujumla.
 
..tulishawekeza.

..hukusikia Magufuli alijenga gati mpya, na kuongeza kina cha bandari yetu?
Kwani ujenzi wa hizo gati Mpya na kina ulianza na Magufuli?

Baada ya kuwekeza miaka yote hiyo mizigo iliongezeka Kwa asilimia 130% kama Kwa DP World?
 
Hakuna uwekezaji serious umewahi fanyika ambao unahusisha total overhaul ya system za Uendeshaji.

Kwa Sasa ndio walau utaona matunda ya uwekezaji eg DP World kutoka Makasha 7,000 Hadi 20,000

Siku 14 Hadi 3 na Kuokoa zaidi ya Trilioni 1.6 soma hapo DP World kuokoa Sh1.6 trilioni hadi Desemba
 
Hayo mapato yamekusaidia nini? Tozo zinazidi kuongezeka, umeme sasa ni anasa.

Lini utakuwa na akili za kichwa badala ya akili ya hii?. Mamakuyoma.
 
Kwani ujenzi wa hizo gati Mpya na kina ulianza na Magufuli?

Baada ya kuwekeza miaka yote hiyo mizigo iliongezeka Kwa asilimia 130% kama Kwa DP World?

..kama sijakosea Magufuli ndio aliongeza gati mpya na kuchimba kuongeza kina cha bandari. Na fedha zilizotumika ni nyingi kuliko uwekezaji wa Dp.
 

Katika mafanikio yote hayo, serikali inapata nini kutoka hapo.
 
Paka rangi mwishowe mapaka yatakuwa Kila mahali.
 
Katika mafanikio yote hayo, serikali inapata nini kutoka japo.
Kodi,kwani ulitaka ipate nini? Tuna capitalize kwenye mafanikio ya DP World.

Wale wengine Adani Ports sijasikia chochote kuhusu wao Toka wamepewa gati za Bandari pia.
 
Kodi,kwani ulitaka ipate nini? Tuna capitalize kwenye mafanikio ya DP World.

Wale wengine Adani Ports sijasikia chochote kuhusu wao Toka wamepewa gati za Bandari pia.

Kodi ipi unayoizungumzia!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…