Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
magati namba 0 mpaka namba 2 mmiliki ni TPA mwenye bandari yakeMkuu hii maghati 3-7 umetoa wapi?
Unaujua mkataba wa ghati 1-3 ulihusu nini?
Na mkataba 4-7 ulikua unahusu nini?
Unajua tatizo langu lipo kwenye kujadili kwa kuhisimagati namba 0 mpaka namba 2 mmiliki ni TPA mwenye bandari yake
3-7 Kapewa DP World wabongo kwa uelewa wetu mdogo tukadhani kapewa bandari nzima,
magati 8-11 kapewa Adani,
Japo DPW kimkataba anasaidia pia baadhi ya shughuli za magati 0-2 yanayoendeshwa na TPA.
Bila kujua dp world ana operate wapi sasa yote mtajadili si itakua ni hisia?
Hujui mchezaji anacheza namba gani, lakini unataka kumjaji? Si ndio itaanza kulalamika kwa nini bakari mwamnyeto hafungi magoli
Daah0-2 TPA
3-7 DPW
8-11 Adani.
Namna ya kupewa kazi huyo mtajadiliana nae kihisia tu, hatajua sababu labda kama mnapenda kujadili hisia..mjadala wetu ulijikita zaidi ktk namna Dpw walivyopewa kazi bandarini, na sio specifically wamekodishwa gati zipi.
..off course ingependeza kama tusingekosea ktk kueleza gati ambazo Dpw wamekodishwa.
..mimi nakubali kuomba radhi kwa makosa yaliyotokea.
..naomba mjadala uendelee.
Nilifanya kazi bandarini miaka ya 2004 mpaka 2007 kule Tanga, nikisafirisha mchanga wa dhahabu kwenda Japan Na China pia aliyeandaa mikataba hii kwa upande wa Tanzania ni rafiki yangu wa karibu, hivyo taarifa zangu zinaweza zisielekee kwenye ukweli kwa asilimia 100 ila nina uhakika zina ukweli kwa angalau asilimia 60. Sipo karibu na sekta kwa sasa.Unajua tatizo langu lipo kwenye kujadili kwa kuhisi
Ghati ni 4 na 7
Ushirikiano na TPA ni 0-3
Sawa lakini hili sio suala la hisia sababu kila kitu kipo kwa ground na kinaendelea na mikataba ishasainiwaNilifanya kazi bandarini miaka ya 2004 mpaka 2007 kule Tanga, nikisafirisha mchanga wa dhahabu kwenda Japan Na China pia aliyeandaa mikataba hii kwa upande wa Tanzania ni rafiki yangu wa karibu, hivyo taarifa zangu zinaweza zisielekee kwenye ukweli kwa asilimia 100 ila nina uhakika zina ukweli kwa angalau asilimia 60. Sipo karibu na sekta kwa sasa.
Kuna vitu huwa vinasikitisha sana hasa vikiwa huku ambapo tunaamini ni kwa great thinkersZabuni iliyompa ushindi Arab Contractors ilitangazwa wapi?
We jamaa huwa unaandika vitu ukiwa hujui loloteMbona mnahangaika sana bila sababu za msingi?
Nimesema DP World ameingia Kwa mtindo wa Serikali Kwa Serikali kusaini MoU na hivyo Kuna preferential treatments Kwa sababu za kimahusiano baina ya Nchi kama tuu Arab Contractors wa Bwawa la Nyerere.
Huyo mwingine Tanzania na India Hazina kubaliana rasmi so alitumia open tendering.
Mwisho Cha muhimu ni matokeo au mchakato?
Za Sgr zote zilitangazwa?We jamaa huwa unaandika vitu ukiwa hujui lolote
Nani kakuambia tender ya bwawa la nyerere haikutangazwa???
Kwa hiyo ya bwawa la umeme umekubali ilitangazwa? So kwa nn ulisema haikutangazwa? Lengo ilikua nn kudanganya?Za Sgr zote zilitangazwa?
Kuna tenda ya kununua ,hii tumewapa waendeshe ,yaani Miaka yoote ya wasomi wa UDSM,MZUMBE NA vyuo vyengine hatuna wataalam wa kusimamia bandari.We jamaa huwa unaandika vitu ukiwa hujui lolote
Nani kakuambia tender ya bwawa la nyerere haikutangazwa???
Kuongea ni rahisi kuliko kutenda.Kuna tenda ya kununua ,hii tumewapa waendeshe ,yaani Miaka yoote ya wasomi wa UDSM,MZUMBE NA vyuo vyengine hatuna wataalam wa kusimamia bandari.
Mtaji nchi tunao hatushindwi kuweka kiasi chochote cha fedha kama nchi.