BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Matabika33Punguza utoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matabika33Punguza utoto
Uchira 1Punguza utoto
UchepePunguza utoto
Jicho bayaPunguza utoto
KovuPunguza utoto
MavipundaPunguza utoto
Piga mashuzi tumboni mwa mama yakoPunguza utoto
Ushamjambia sana mama yako ukiwa tumboni kwakePunguza utoto
X harudiwiSio kutumbua mabilioni tu, kala na jicho lote sasa itakuwa ajabu sana Bill akubali arudi kwake..!! Biblia imeeleza vema sana kuhusu wenzetu hawa
Nipo live hapa...
Duuuh Watu mna nondo hatari juu ya huu ulimwengu.Ila wanawake bhana ,kwamba mpaka elite Illuminati members wanaachwa au sio ?
Halafu Gates ni pedophile na Satanist aliyekuwa anafanya ibada za sexual abuse na watoto wadogo , yupo kwenye list ya clients WA Epstein
Ila Kwa vile sheria haina meno kwa watu A lists kama Bill ndio hivyo tena
Madako yako
Kwa mfano wakarudiana na hana huo mgawo,je wakiachana tena atadai mgawo mwingine na mahakama hapo sijui itaamuajeSharti la kurudiana anatakiwa arudi akiwa na ile sehemu ya utajiri aliyopewa kama mgawo
Itaugawa tena mpunga wa Billgates, na huenda ndiyo alichokifuataKwa mfano wakarudiana na hana huo mgawo,je wakiachana tena atadai mgawo mwingine na mahakama hapo sijui itaamuaje
Kwa nini asije kwa mwamba Bello Baltasar hapo EG.Ndio maana mlielezwa muishi nao kwa akili
Bill Gates aliyekuwa tajiri namba moja duniani na mke wake wa ndoa Melinda Gates walitalikiana miaka miwili uliyopitia. Mke alivuna karibu nusu ya utajiri wa Bill
Kwa sasa akihojiwa na vyombo vya habari amedai mtalaka wake huyo anahangaika kutumia marafiki wa karibu wa Bill ili amsamehe, kwamba hana amani ya moyo
Kisa hicho kimetokea baada ya mwanaume aliyemrubuni Melinda kumwacha kuanzia Mei mwaka huu, hivyo kabaki hana pa kuushika,
Melinda alidai atakuwa na furaha kitu ambacho kimekuwa kugeuka kwani jamaa anaendelea na mambo yake, TMZ wameripoti habari hiyo na kuifuta haraka sana lakini Bill mwenyewe aliongea na watu mbalimbali na kuthibitisha hilo
Tuzidi kujifunza juu ya hawa Wanawake hawajielewi kabisa wanataka nini na hawataki nini
Sema mjomba.