Bill Gates adai mke aliyetalakiana naye aanza kuwatumia marafiki wa karibu kuomba msamaha

Bill Gates adai mke aliyetalakiana naye aanza kuwatumia marafiki wa karibu kuomba msamaha

Ndio maana mlielezwa muishi nao kwa akili

Bill Gates aliyekuwa tajiri namba moja duniani na mke wake wa ndoa Melinda Gates walitalikiana miaka miwili uliyopitia. Mke alivuna karibu nusu ya utajiri wa Bill

Kwa sasa akihojiwa na vyombo vya habari amedai mtalaka wake huyo anahangaika kutumia marafiki wa karibu wa Bill ili amsamehe, kwamba hana amani ya moyo

Kisa hicho kimetokea baada ya mwanaume aliyemrubuni Melinda kumwacha kuanzia Mei mwaka huu, hivyo kabaki hana pa kuushika,

Melinda alidai atakuwa na furaha kitu ambacho kimekuwa kugeuka kwani jamaa anaendelea na mambo yake, TMZ wameripoti habari hiyo na kuifuta haraka sana lakini Bill mwenyewe aliongea na watu mbalimbali na kuthibitisha hilo

Tuzidi kujifunza juu ya hawa Wanawake hawajielewi kabisa wanataka nini na hawataki nini
Sio kweli kwamba alivuna nusu ya utajiri wa gates.
Halafu huyo mama alikuwa mwelewa ile taraka ilikuwa inatishia kuanguka hisa za microsoft ndio maana waliweza kusettle asichukue nusu ya utajiri wa gates na mambo kuwa makubwa kungeangusha thamani ya hisa za microsoft.
 
Sawa vyema hayo ni mawazo yako ni haki yako una uhuru wa kuamini unavyotaka.

So narudi kwako kukuuliza,Bill gates anaamini uwepo wa Mungu au haamini?nimependa hapa umeongelea nafsi yako hujamsemea tena jamaa.mimi nadhani ibaki kama ilivyo,una unachokiamini nina ninachokiamini yule vile vile haileti maana sana ikiwa tutataka yale tunayoyafanya sisi na wenzetu wayafanye.
Umesoma kile kitabu chake nilichokutajia ? Kama haujasoma sitakujibu tena hilo swali kumhusu tafadhali.
 
Sawa vyema hayo ni mawazo yako ni haki yako una uhuru wa kuamini unavyotaka.

So narudi kwako kukuuliza,Bill gates anaamini uwepo wa Mungu au haamini?nimependa hapa umeongelea nafsi yako hujamsemea tena jamaa.mimi nadhani ibaki kama ilivyo,una unachokiamini nina ninachokiamini yule vile vile haileti maana sana ikiwa tutataka yale tunayoyafanya sisi na wenzetu wayafanye.
Hili nijukwaa huru na sio kanisani, ukileta habari za Mungu humu ninayo haki ya kuhitaji uthibitisho kama hauna unakausha tu wala sitakulazimisha.
 
Sio kweli kwamba alivuna nusu ya utajiri wa gates.
Halafu huyo mama alikuwa mwelewa ile taraka ilikuwa inatishia kuanguka hisa za microsoft ndio maana waliweza kusettle asichukue nusu ya utajiri wa gates na mambo kuwa makubwa kungeangusha thamani ya hisa za microsoft.
Hakuwa mwelewa wa chochote angekuwa mwelewa angedai talaka kisa kapata bwana mpya?

Anazidi kuonyesha asivyo na akili kwa kubembeleza kurudi,hovyo kabisa.
 
Ukiwa kwenye ndoa, kama huna akili, thamani ya mwenzio huioni.
Mkitengana/kutalikiana ndio unaanza kujua kumbe yule mtu ni mtu katika watu.
Ndio utapata wingine,lakini sio malaika.
Tena Unakuta ana mapungufu zaidi kuliko wa mwanzo!.
CC Queen aliyekuwa wa Mwaka
 
Nani?

Mbona yeye ndo aliniblock.

Wakati ananiblock nilikuwa nishamsahau

Nikashangaa amekumbuka kuniblock

Nilimhurumia.

Mie huwa nawasahau maex ndani ya sekunde 17 coz zikifika sekunde 19 tayari nina mwingine mwenye pesa kupita the former
Pesa za mwanaume sio zako kamwe
 
Ila wanawake bhana ,kwamba mpaka elite Illuminati members wanaachwa au sio ?
Halafu Gates ni pedophile na Satanist aliyekuwa anafanya ibada za sexual abuse na watoto wadogo , yupo kwenye list ya clients WA Epstein
Ila Kwa vile sheria haina meno kwa watu A lists kama Bill ndio hivyo tena
Hizo title zote ulizo mpa ukiambiwa u prove sidhani kama unaweza dhibitisha zote

Speaking about masuala ya ndoa yake, kwa pesa alizonazo sidhani kama he is worried about mwanamke anymore, after all anaweza mpata yoyote kwa wakati wowote akitaka
 
Hakuwa mwelewa wa chochote angekuwa mwelewa angedai talaka kisa kapata bwana mpya?

Anazidi kuonyesha asivyo na akili kwa kubembeleza kurudi,hovyo kabisa.
Habari zilizoko ni kwamba bwana bill alikuwa na mahusiano na mdada wa microsoft, pia alidai bill alikuwa akiparty na yule jamaa alikuwa na scandal sawa na pdidy akajiua anaitwa somebody epstein. Uelewa ni kwamba hakung'ang'ania kuchukua sehemu kubwa ya mali ili kulinda shares za kampuni
 
Back
Top Bottom