BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unamsemea?mimi najua hajawahi kusema hamjui Mungu.Nimemjibu mtoa mada kwa hilo la Mungu hayo mengine yajibuni nyie🙏
Tafuta kitabu chake cha embodiment of digital era.Kwani unamsemea?mimi najua hajawahi kusema hamjui Mungu.
Na kwanini kila unapokutana na neno ”Mungu“ unaonekana kukosa amani?yaani utatumia kila nyenzo uliyo nayo kuonyesha anayetumia neno hilo amekosea kwanini hali hii bro?hujiamini au kitu gani?
Hujamkumbuka Ex wako?
Mwana kuliafaindi mwanakuligeti ,mwache aione ngondoigwa ,wanawake wakishapakiwa mkongo huko nje wanaleta dharau ndani ,kumbe wapaka mkongo target yao ni pesa tu akishazipata akauacha solemba ,Melinda amevuna alichokipanda na Bill Gates aachane naye asiruhusu kumrudia huyo shetani.
Yes mkuu
Ikiwa yupo hai na kilichoandikwa Wikipedia kumuhusu ndiyo sahihi ikiwa hajaona umuhimu wa kutaka ibadilishwe,Tafuta kitabu chake cha embodiment of digital era.
Halina mashiko kwa sababu huo ndiyo ukweli wenyewe,yaani haujisikii amani ukiona mtu anaamini tofauti na unavyotaka wewe kitu kinachokupa depression kiasi unajitahidi usikilizwe kila wakati na ni kitu hakiwezi kutokea.Swali la chini halina mashiko kwangu sina haja ya kulijibu🙏
Wapi ulishaona nataka kusikilizwa? Wapi uliona nimefungua uzi kuhusu uwepo wa Mungu? Ukimtaja wewe unapaswa uthibitishe, humu sio kanisani kila mtu anafuata mambo kama kondoo tu🤔.Ikiwa yupo hai na kilichoandikwa Wikipedia kumuhusu ndiyo sahihi ikiwa hajaona umuhimu wa kutaka ibadilishwe,
View attachment 3147943kitabu kinaweza kuwa chake lakini kama humo alimkataa Mungu usually binadamu alivyo alichokiwaza jana (wakati anaandika hicho kitabu) na anachowaza leo ni tofauti coz kila siku tunajifunza na kupata mawazo mapya.
Halina mashiko kwa sababu huo ndiyo ukweli wenyewe,yaani haujisikii amani ukiona mtu anaamini tofauti na unavyotaka wewe kitu kinachokupa depression kiasi unajitahidi usikilizwe kila wakati.
Nipe nafasi na mimi nipigeNani?
Mbona yeye ndo aliniblock.
Wakati ananiblock nilikuwa nishamsahau
Nikashangaa amekumbuka kuniblock
Nilimhurumia.
Mie huwa nawasahau maex ndani ya sekunde 17 coz zikifika sekunde 19 tayari nina mwingine mwenye pesa kupita the former
The way unavyom-crush mtu aliyeandika neno Mungu kwenye post na haujwa tagged moja kwa moja kunakufanya kuonekana unataka battle ili upandikize kile unachoamini wewe,kwanini nikuthibitishie?mfano pale juu,aliyeandika neno Mungu alikuita uje kusema “Bill haamini uwepo wa Mungu”?)Wapi ulishaona nataka kusikilizwa? Wapi uliona nimefungua uzi kuhusu uwepo wa Mungu? Ukimtaja wewe unapaswa uthibitishe, humu sio kanisani kila mtu anafuata mambo kama kondoo tu🤔.
hakuna mahali bill kasema hakuna Mungu wala Mungu yupo , yeye hana uhakika na mara nyingi anatambulika kama agnostic .
Mimi pia naomba mtu athibitishe wala sijamshikia mtu bunduki anaweza jibu ama kupotezea tu , hili ni jukwaa huru mkuu, humu sio kanisani ambapo kila mtu lazima awe kondoo .The way unavyom-crush mtu aliyeandika neno Mungu kwenye post na haujwa tagged moja kwa moja kunakufanya kuonekana unataka battle ili upandikize kile unachoamini wewe,kwanini nikuthibitishie?
Mkuu ni haki yako kutaka nikuthibitishie ikiwa tu mimi nimetaka wewe unisikilize mimi lakini kama nimejiandikia tu then ni haki yangu wewe usinisumbue,kwa hiyo anaamini Mungu yupo au haamini?nikinukuu Wikipedia,kwa kusema maneno haya “Nafikiri inaleta maana kuamini katika Mungu” unadhani haamini uwepo wa Mungu au anaamini?
Sawa vyema hayo ni mawazo yako ni haki yako una uhuru wa kuamini unavyotaka.Mimi pia naomba mtu athibitishe wala sijamshikia mtu bunduki anaweza jibu ama kupotezea tu , hili ni jukwaa huru mkuu, humu sio kanisani ambapo kila mtu lazima awe kondoo .
Mungu hajawahi kuwepo hata kwa dalili tu kama una uthibitisho ,thibitisha hapa kama hauwezi ,kausha tu.