Bill Gates adai mke aliyetalakiana naye aanza kuwatumia marafiki wa karibu kuomba msamaha

Hela alizopewa zimeisha anataka kupiga tena😅😅😅
 
Duuuh Watu mna nondo hatari juu ya huu ulimwengu.

Ubinadamu ni kazi The humanity is work.
 
Sharti la kurudiana anatakiwa arudi akiwa na ile sehemu ya utajiri aliyopewa kama mgawo
Kwa mfano wakarudiana na hana huo mgawo,je wakiachana tena atadai mgawo mwingine na mahakama hapo sijui itaamuaje
 
Kwa mfano wakarudiana na hana huo mgawo,je wakiachana tena atadai mgawo mwingine na mahakama hapo sijui itaamuaje
Itaugawa tena mpunga wa Billgates, na huenda ndiyo alichokifuata
 
Kwa nini asije kwa mwamba Bello Baltasar hapo EG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…