TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Matajiri wakubwa duniani kama Bill Gates ni watu wenye resources nyingi ikiwemo access za conspiracies mbalimbali na intelligent missions. Bill Gates kutabiri kuwa waafrika milioni 10 watakufa kwa coronavirus sio jambo la kupuuzwa, hasa ikizingatiwa habari hii imeandikwa na gazeti maarufu la Telegraph:
Coronavirus: Bill Gates warns of 10 million deaths as virus spreads to Africa: Coronavirus: Bill Gates warns of 10 million deaths as virus spreads to Africa
Habari ambazo zimekuwa zikizunguka hivi karibuni wakati wengi wenu mkiwa na hangover za valentine ni kuwa mlipuko wa coronavirus ulishatabiriwa katika novel ya Dean Koontz inayoitwa "The Eyes of Darkness" tangu mwaka 1981. Novel hiyo imeipa coranavirus jina la Wuhan-400, kirusi kilichotengenezwa na Jeshi la China katika maabara ya Wuhan kama silaha ya kibaolojia. Sasa hivi dunia inaitazama coronavirus kama mpango wa kiharibifu wa China dhidi ya mataifa mengine uliofeli na kuigeukia China yenyewe.
"A virus called Wuhan-400 causes outbreak … in a Dean Koontz thriller from 1981. How is it that some books appear to prophesy events?
Mpango huu unaodhaniwa, huenda ukawa ni wa kweli kwa sababu vyombo vya habari vya magharibi (+ US) vimekuwa vikiripoti maafa ya coronavirus kwa namna inayoashiria kushangilia na mizaha. Kitendo hicho kimekemewa vikali na msemaji wa mambo ya nje wa China, ambaye pia aliilaumu US kwa kufanya vitendo vinavyoleta hofu na panic: katika mapambano dhidi ya coronvirus http://www.china-embassy.org/eng/fyrth/t1739548.htm
Kuna uwezekano wa kuwepo kwa habari za kiintelijensia nyuma ya kapeti zinazoashiria kuwa kweli kulikuwa na mpango wa China kuangamiza maadui zake au kudhoofisha nchi kama vile za Afrika ili kuzitawala kibiashara na kiuchumi.
Hapo awali Dr. Li Wenliang aligundua ugonjwa wa corona mapema kabisa kabla ya ugonjwa kuenea na kuonya, lakini mamlaka ya China ilimtumia polisi na kumkamata kwa kuambiwa kuwa ni mzushi: The Chinese doctor who tried to warn about coronavirus
"Li Wenliang (Chinese: 李文亮; 12 October 1986 – 7 February 2020) was a Chinese ophthalmologist at Wuhan Central Hospital who warned about COVID-19 on 30 December 2019 on WeChat to fellow colleagues, becoming a whistleblower when his warnings were later shared publicly.[1][2] On 3 January 2020, Wuhan police summoned and admonished him for "making false comments on the Internet".[1][3] Li returned to work, later contracting the virus from an infected patient and dying from the disease on 7 February 2020.[4][5]" - soma zaidi Li Wenliang - Wikipedia
Hata hivyo, hali ya mashambulizi ya coronavirus nchini China huenda ni mbaya kuliko inavyoripotiwa, kwa sababu limeibuka kundi la watu wasiojulikana na kuteka waandishi wa habari wanaoripoti hali halisi kuhusiana na shambulizi la coronavirus na kuwapeleka sehemu isiyojulikana:
- Chen Qiushi - Wikipedia
- They Documented the Coronavirus Crisis in Wuhan. Then They Vanished.
Kwa upande mwingine, China imekuwa msitari wa mbele katika kutafuta biotechnologies kwa madhumuni mbalimbali, hata kwa kuiba, kama taarifa hii inavyoonyesha:
"Zaosong Zheng, 30, a Chinese national, was arrested on Dec. 10, 2019, at Boston’s Logan International Airport and charged by criminal complaint with attempting to smuggle 21 vials of biological research to China. On Jan. 21, 2020, Zheng was indicted on one count of smuggling goods from the United States and one count of making false, fictitious or fraudulent statements. He has been detained since Dec. 30, 2019." - Harvard University Professor and Two Chinese Nationals Charged in Three Separate China Related Cases
Maelezo ya kisayansi kuhusiana na coronavirus ikiwemo kasi ya maambukizi nchini China na duniani kote yanapatikana hapa: Some Recent Scientific Reports on Coronavirus

- The Eyes of Darkness features a Chinese military lab in Wuhan that creates a virus as a bioweapon; civilians soon become sick after accidentally contracting it
- In fact, the one lab in China able to handle the deadliest viruses is in Wuhan and helped sequence the novel coronavirus the world is currently battling"